Mwenyekiti huyo sheikh alhad?🤣🤣Ushindwe ulegee kwa jina la yesu🙄Mkuu, haikuwepo kamati ila kulikuwa na team ya wasaka tonge tu. Subiri siku ya kuapishwa waajiri wao utaziona zote zinazojiita kamati lakini si kwa yale yanayokwenda kinyume na wanaowapa ugali.
Walishiriki kupanga hata yanayotokea hivyo hawawezi kugeuka watamsaliti mungu.Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani.
Hizi kamati mbona hatuzioni wakati huu ambapo kuna uvunjifu mkubwa wa amani unafanyika huko Zanzibar? Viongozi wa dini wako wapi au wanaouawa Zanzibar sio wafuasi wenu.
Hatujasikia hata tamko tu la kulaani yanayoendelea Zanzibar. Je, tuseme lengo lao kuu wakati wa uchaguzi lilikuwa nini? Kukaa kwenu kimya ni kudhihirisha mko upande wa watesi?
Wadhani hapo kuna viongozi wa dini Mkuu? Jiulize ikiwa mwenyekiti wao alikuwa akichambana na Mange mpaka akaanikika vilivyo wanawezaje kuaminika kuwa si wachumia matumbo yao?Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani.
Hizi kamati mbona hatuzioni wakati huu ambapo kuna uvunjifu mkubwa wa amani unafanyika huko Zanzibar? Viongozi wa dini wako wapi au wanaouawa Zanzibar sio wafuasi wenu.
Hatujasikia hata tamko tu la kulaani yanayoendelea Zanzibar. Je, tuseme lengo lao kuu wakati wa uchaguzi lilikuwa nini? Kukaa kwenu kimya ni kudhihirisha mko upande wa watesi?
Wachumia tumboKipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani.
Hizi kamati mbona hatuzioni wakati huu ambapo kuna uvunjifu mkubwa wa amani unafanyika huko Zanzibar? Viongozi wa dini wako wapi au wanaouawa Zanzibar sio wafuasi wenu.
Hatujasikia hata tamko tu la kulaani yanayoendelea Zanzibar. Je, tuseme lengo lao kuu wakati wa uchaguzi lilikuwa nini? Kukaa kwenu kimya ni kudhihirisha mko upande wa watesi?
Kama hao ndio viongozi wa dini basi dini zetu zemekuwa irrelevantKipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani.
Iui
Hizi kamati mbona hatuzioni wakati huu ambapo kuna uvunjifu mkubwa wa amani unafanyika huko Zanzibar? Viongozi wa dini wako wapi au wanaouawa Zanzibar sio wafuasi wenu.
Hatujasikia hata tamko tu la kulaani yanayoendelea Zanzibar. Je, tuseme lengo lao kuu wakati wa uchaguzi lilikuwa nini? Kukaa kwenu kimya ni kudhihirisha mko upande wa watesi?
Atakubali vipi wakati ukweli uko wazi kwamba hajawahi kushindwa?Tatizo ni Mzee Seif huwa akubaligi kushindwa.
Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani.