Zile Kambi za Dubai, Egypt na Sudan kumbe zilikuwa ni kwa ajili ya nusu fainali ya ASFC

Nawapongeza watani wangu Simba kwa pre season nzuri. Moja ya mafanikio mazuri kwenye michezo ni maandalizi Kama hayo. Timu iweke kambi nje huko na icheze na timu za madaraja mazuri. Nadhani tusiwabeze Simba hawa Ila tushukuru Mungu mambo yameiendea vizuri timu yangu ya Yanga, natamani msimu ujao tukapige pre season South.
 
Msimu huu na wenyewe wakaweke kambi yao kule Bunju Magengeni. Ifikie wakati wamuonee huruma Mhindi wa watu. Maana kutwa ni kulalamika tu.
Kuna yule jamaa tirai tena alisafir mpaka Ghana na Nigeria kufuata vifaa vyenyewe ni Okra na okwa sijui nani amekula 10%
 
Kipindi kile walikuwa na yule kocha wa makipa walikuwa wanabeba ngada na kuvusha nchini

Viungo punda
 
Msimu huu na wenyewe wakaweke kambi yao kule Bunju Magengeni. Ifikie wakati wamuonee huruma Mhindi wa watu. Maana kutwa ni kulalamika tu.
Mhindi anaona vijeba wanataka kumfilisi, wamekuwa kama pimbi harakati nyingi zisizo na ufanisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…