Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kijana kua na heshima, KUFA KIUME CUP ni kombe linalotambulika kimataifa, wape pongezi za dhati ROBOROBO FC kwa kulitwaa hilo taji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapongeza watani wangu Simba kwa pre season nzuri. Moja ya mafanikio mazuri kwenye michezo ni maandalizi Kama hayo. Timu iweke kambi nje huko na icheze na timu za madaraja mazuri. Nadhani tusiwabeze Simba hawa Ila tushukuru Mungu mambo yameiendea vizuri timu yangu ya Yanga, natamani msimu ujao tukapige pre season South.Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya firauni...
Kuna timu mojawapo hapa nchini Huwa inaanza msimu Kwa mikwara mingi sana ila mwishoni mwa msimu huwa inaangukia pua vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati wa maandalizi ya kuanza msimu huu tuliwasikia wameenda kuweka Kambi Misri.
Mara hatujakaa sawa tukawasikia wameenda Sudan kuweka Kambi na kucheza mechi za kirafiki na timu vigogo barani Afrika
Hatujakaa sawa katikati ya Msimu hao tukawasikia wameenda Dubai kuweka kambi
Mara tukawasikia wamecheza mechi za kirafiki na timu zinazoshiriki UEFA champions league...
Sasa kumbe haya maandalizi yote yalikuwa ni kuja kucheza nusu fainali ya Azam Confedaration Cup[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo wamejitahidi kutetea kombe lao la robo fainali na wamefanikiwa pia kuondoka na kombe jipya la kufa kiume[emoji23]
Uzi tayari.....[emoji382][emoji382][emoji375][emoji375]View attachment 2608600
Kuna yule jamaa tirai tena alisafir mpaka Ghana na Nigeria kufuata vifaa vyenyewe ni Okra na okwa sijui nani amekula 10%Msimu huu na wenyewe wakaweke kambi yao kule Bunju Magengeni. Ifikie wakati wamuonee huruma Mhindi wa watu. Maana kutwa ni kulalamika tu.
Mhindi anaona vijeba wanataka kumfilisi, wamekuwa kama pimbi harakati nyingi zisizo na ufanisi.Msimu huu na wenyewe wakaweke kambi yao kule Bunju Magengeni. Ifikie wakati wamuonee huruma Mhindi wa watu. Maana kutwa ni kulalamika tu.