OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Anaandika Meneja Ahmed Ally
Nilitegemea hili na wasingejitoa ningeshangaa sana!
Wakati wanaianza safari ya NANI ZAIDI hawakua na dira wala muelekeo
Waliingia kichwa kichwa pengine walitaka kuwaridisha wadhamini Azam Tv lakini ukweli ni kwamba walikua hawajui wanafanya kitu gani
Sababu zozote watakazotoa ni visingizio tuu ukweli ni kwamba hawakua na focus na pia wanakimbia baada ya kuona gape inazidi kuwa kubwa
Ukitaka kuamini hawakujipanga rudia kuwasikiliza siku ya Press ya uzinduzi, hakuna cha maana walizungumza zaidi ya kupiga makelele kushindwa kwao kulianza siku ile
Walizungumza ki oya oya baadala ya kuzungumza kibiashara na mashabiki wao wakaichukulia kampeni oya oya na hatimae wamekufa oya oya
Kujitoa kwao sio bahati mbaya wamefanya makusudi ili nasi tushindwe kutimiza malengo yetu
Wanajua nguvu ya mashabiki wetu, wanajua kupitia mtaji wa mashabiki wetu tutajenga ukuta pale Bunju na tutajenga Hostel zetu
Hawataki tuwe na vyetu wanataka tufanane tuwe kama wao wanavyoishi kwenye nyumba za mtu
Mwaka jana walifanya kampeni ya kukarabati Ile Bording yao pale Jangwani ambapo ukikarabati chumba kinapewa jina lako, kampeni ilikufa kifo cha kawaida hawana mashabiki royal
Wamejitoa ili kampeni ifee tufeli wote
TUNAWAAMBIA TUU kampeni itaendelea hadi siku ya mwisho July 3 2022
Watu wenye malengo hawawezi kuishia njiani kisa mkosa malengo kaishia njiani
Kampeni yetu sasa inafahamika kama KLABU YANGU na malengo ni yaleyale
Sasa tunashindana Simba wenyewe kwa wenyewe
My Take
Tukio la kibiashara kama lile unaleta wahuni na mapunguani kuongea unategemea nini? Kama mnampenda sana Manara mpelekeni akapate matibabu ya akili badala ya kumtumia kwenye biashara