Zile kauli za kihuni za Manara kwa CEO Barbara zimejibu

Zile kauli za kihuni za Manara kwa CEO Barbara zimejibu

Kinachoshangaza ni kwamba, wanaojinadi kupata hela nyingi zaidi kwenye hiyo harambee yao ndio wanaongoza kwa kulalamika.

Si mcheze peke yenu, kelele za nini? Kila mtu afanye anachokiweza. Sisi tumefanya tunachokiweza (kushinda ubingwa), nyinyi pia fanyeni mnachokiweza (kuchangishana).

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hawa wanaumia kushtukiwa. Walitaka kufaidika kupitia Yanga
 
Back
Top Bottom