Kinachoshangaza ni kwamba, wanaojinadi kupata hela nyingi zaidi kwenye hiyo harambee yao ndio wanaongoza kwa kulalamika.
Si mcheze peke yenu, kelele za nini? Kila mtu afanye anachokiweza. Sisi tumefanya tunachokiweza (kushinda ubingwa), nyinyi pia fanyeni mnachokiweza (kuchangishana).
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]