3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Ila Mungu alitusaidia Sana maana tungekoma tungekuwa na Rais asiye na kikomo kama Rwanda na UgandaMwendazake alipanga kufanya kitu KIBAYA sana kwa Nchi hii Ambaye Angepinga Mpango huo Yangempata Makubwa
Mama kwakuwa anakubalika na ufipa yote, kwa sasa 2025 tuungane apite bila kupingwaa. Hiiii ndo raha ya ccm chama dume.Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya uchaguzi kulizuka mjadala bungeni wa kuwa rais magufuli aongezewe muhula wa uongozi...
[emoji23][emoji23][emoji23]ZEK. :13:7
Amka, Ee upanga, juu ya mchungaji wangu, na juu ya mtu aliye mwenzangu, asema BWANA wa majeshi; mpige mchungaji, nao kondoo watatawanyika;.....
Hii ndiyo kanuni iliyotumika kiongozi wao kapigwa kondoo zote zimetawanyika na idea yao kufa milele
Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya uchaguzi kulizuka mjadala bungeni wa kuwa rais Magufuli aongezewe muhula wa uongozi...
Mungu ni mwema katuepusha na jambo baya sana mbeleni.Mwendazake alipanga kufanya kitu KIBAYA sana kwa Nchi hii Ambaye Angepinga Mpango huo Yangempata Makubwa
Tulishafanya 40 imeisha hio.Bado wana matarajio Meko aatarudi waanze upya.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]labda mzimu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha amina mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeeleweka mtumishi mwenzangu
Ha ha ha amina mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeeleweka mtumishi mwenzangu
Bado hajatoa hongo kwa mataga, subiri waongwe uone watakavyojitoa ufahamu.Baada ya uchaguzi mkuu ambao ni moja ya chaguzi mbaya kupata kutokea Tanzania, bunge la Tanzania kupitia wabunge wake wa chama kimoja waliopatikana baada ya uchaguzi kuchafuliwa na tume ya uchaguzi kulizuka mjadala bungeni wa kuwa rais Magufuli aongezewe muhula wa uongozi...
Che mittoga haya maneno yako yaandikwe kwa bold capitals kisha yawekwe kwenye frame.Mungu na Aheshimiwe sana.
Amefanya maamuzi sahihi sana kwa Taifa la Tanzania.
Kumng'oa Nduli
Mama Samia akiendelea hivi basi apewe japo mitano mingine.Kwani hujasikia bavicha wakidemka kwamba Samia lazima aongoze hadi 2030 ili kuwakomoa mataga na marehemu?
Stukaa. Ukiona hivyo ujue mratibu wa hizo kelele alikua muhusika mwenyewe. Siasa ni mwanakharamuMbunge wa Makambako bw. Deo sanga alilishikia bango suala hili na spika kumpa muda mwingi wa kulizungumzia. Mwaka 2020 wakati bunge linamaliza muda wake mbunge wa nkasi bw ally kessy alitaka rais magufuli aongezewe muhula wa uongozi na spika ndugai kwa kiburi alitalia kuwa hoja hiyo ailete bunge lijalo na kudai kuwa tena tutakuwa wenyewe(CCM) bila upinzani kwa maana walikuwa wamepanga namna uchaguzi mkuu utakavyokuwa kuwakata wapinzani. Spika Ndugai alisema Magufuli atake au asitake lazima aongezewe muda...