Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Hebu tueleze kwanza chanzo Cha hizo fedha za magoli anazitoa wapi. Ndio tujue tunakuunga mkono au tunakupiga spana vilevileNdio hivyo,
Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo
Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha..
Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi,
Wanunue chakula,
Wapate nauli ya kwenda kazini,
N.k
Wakati kuna milioni nyingi tu zinaharibiwa huku!
Milioni 50
Unajenga nyumba ya kuishi familia mbili za walimu katika eneo la shule,
Na kumpunguzia mwalimu adha ya kulipa kodi,
Faida mojawapo ya mwalimu kukaa shule ni kumuongezea ufanisi na kurahisisha utendaji kazi ...
Najua chawa mtakuja kupiga kelele lakini huo ndio ukweli..
Tunapeleka hela Sehemu sio ili kutafuta kiki
Bila shaka ww ni MWALIMU....hata angewajengea wengine wangelalamika tuNdio hivyo,
Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo
Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha..
Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi,
Wanunue chakula,
Wapate nauli ya kwenda kazini,
N.k
Wakati kuna milioni nyingi tu zinaharibiwa huku!
Milioni 50
Unajenga nyumba ya kuishi familia mbili za walimu katika eneo la shule,
Na kumpunguzia mwalimu adha ya kulipa kodi,
Faida mojawapo ya mwalimu kukaa shule ni kumuongezea ufanisi na kurahisisha utendaji kazi ...
Najua chawa mtakuja kupiga kelele lakini huo ndio ukweli..
Tunapeleka hela Sehemu sio ili kutafuta kiki
Yule ni mtu wa cherekochereko zaidiNdio hivyo,

Uwanja wa mkapa ukiwa wote umeenea huwa zinapatikana milioni ngapi, na mgao wake ukoje, pia tujadili hiyo hela ya goli la mama kama imesaidia kuleta hamasa na matokeo chama yakoje kwasasa na hapo baadaeNdio hivyo,
Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo
Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha..
Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi,
Wanunue chakula,
Wapate nauli ya kwenda kazini,
N.k
Wakati kuna milioni nyingi tu zinaharibiwa huku!
Milioni 50
Unajenga nyumba ya kuishi familia mbili za walimu katika eneo la shule,
Na kumpunguzia mwalimu adha ya kulipa kodi,
Faida mojawapo ya mwalimu kukaa shule ni kumuongezea ufanisi na kurahisisha utendaji kazi ...
Najua chawa mtakuja kupiga kelele lakini huo ndio ukweli..
Tunapeleka hela Sehemu sio ili kutafuta kiki
Kwa hiyo nyumba 2 watakwenda kuishi zaidi ya walimu laki 3 waliopo nchini?Ndio hivyo,
Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo
Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha..
Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi,
Wanunue chakula,
Wapate nauli ya kwenda kazini,
N.k
Wakati kuna milioni nyingi tu zinaharibiwa huku!
Milioni 50
Unajenga nyumba ya kuishi familia mbili za walimu katika eneo la shule,
Na kumpunguzia mwalimu adha ya kulipa kodi,
Faida mojawapo ya mwalimu kukaa shule ni kumuongezea ufanisi na kurahisisha utendaji kazi ...
Najua chawa mtakuja kupiga kelele lakini huo ndio ukweli..
Tunapeleka hela Sehemu sio ili kutafuta kiki
Wacha wafurahie keki ya Taifa na wailetee sifa mama Tanzania badala ya kuwa kichwa cha mwendawazimu kwenye mpira wa miguu, hata Vital'o'wamesema wanatamani goli la mama walienda mbali zaidi kwa kuomba kama watashinda wao wapate hiyo hela ya goli la mama kwasababu na wao ni watoto wa East Africa, (Africa mashariki)Kwa hiyo nyumba 2 watakwenda kuishi zaidi ya walimu laki 3 waliopo nchini?
Pili nani alikwambia walimu hawana nyumba zao?
Tatu, huo ni wivu tu hata kina Mzize wana haki ya kuzitumia hizo 50M
unaendeleza sekta ya soka kwa kuwapa 5M na sio kuboresha viwanja vya mpiraUnapokuwa kiongozi sekta zote ziko chini Yako zinahitaji kuendelezwa. Rais anawijibika kuindeleza sekta ya elimu,afya, kilimo, michezo nk.
Si walimu pekee nchi hii ndio Wanaohitaji nymba Bali, manesi, askari, na watumishi wengine.
unaendeleza sekta ya soka kwa kuwapa 5M na sio kuboresha viwanja vya mpira na kuUnapokuwa kiongozi sekta zote ziko chini Yako zinahitaji kuendelezwa. Rais anawijibika kuindeleza sekta ya elimu,afya, kilimo, michezo nk.
Si walimu pekee nchi hii ndio Wanaohitaji nymba Bali, manesi, askari, na watumishi wengine.
Acha mihemko wewe maendeleo ni kwa kila sekta sasa usimlazimishe yawe kwenye nyumba za walimu tu kumbuka ata michezo ni muhimu kwa taifa lazima uhamasishaji uwepo ili timu zifanye vizuriNdio hivyo,
Ndio maana nikasema nchi hii bado hatujapata mtu serious mwenye uchungu wa maendeleo
Kama kuna wafanyakazi nchi hii wameachwa nyuma basi ni Maticha..
Yaani kwenye huo mshahara wao ndio walipe kodi,
Wanunue chakula,
Wapate nauli ya kwenda kazini,
N.k
Wakati kuna milioni nyingi tu zinaharibiwa huku!
Milioni 50
Unajenga nyumba ya kuishi familia mbili za walimu katika eneo la shule,
Na kumpunguzia mwalimu adha ya kulipa kodi,
Faida mojawapo ya mwalimu kukaa shule ni kumuongezea ufanisi na kurahisisha utendaji kazi ...
Najua chawa mtakuja kupiga kelele lakini huo ndio ukweli..
Tunapeleka hela Sehemu sio ili kutafuta kiki
Motisha kwa wachezaji na benchi la ufundi, (Very good motivation) kila wanapocheza wanajua jicho la mama lipounaendeleza sekta ya soka kwa kuwapa 5M na sio kuboresha viwanja vya mpira na ku
Umenena vyema sana sana✊✊🏾Una wajibu na maisha yako, usifikirie sana mambo ambayo uwezi ku control.
Focus kwenye mambo ambayo wewe unaweza fanya kutokana na mazingira yanayo kukabili uchomoke ulipo kwenda unapotaka.
Sio kila maamuzi ya serikali au ya mtu mwingine yatakufurahisha au kuwa fair (reasonable kwako). Kama wenye mamlaka ndio washafanya muhimu ni wewe unacheza vipi katika mazingira yaliyopo kuendelea na malengo yako.
Maamuzi hayo hayo ya serikali usiyopenda wewe, wengine wanaona sawa. Sasa uwezi umia na maamuzi ambayo wewe uwezi yadhibiti hayo ndio maisha.
We can only control ourselves and our destiny.
Bado kama raia unawajibu wa kuchangia unapoona panafaa. Motisha ni sehemu ya maboresho ya sekta husikaunaendeleza sekta ya soka kwa kuwapa 5M na sio kuboresha viwanja vya mpira na ku