Wale Wametupiga Cash Ndefu Sana Halafu KimyaAu zipo?
Wadau Ile mechi ambayo iliepekwa saa moja usiku halafu Yanga wakagoma wakaondoka.
Taarifa yake ya fedha ikoje!?Zile hela zilienda wapi?Au ndo zimeliwa?
Kuna anaekumbuka labda maelezo yeyote?
Nazungumzia mechi ya Simba na Yanga ilioshindikana kuchezwa huku watu walishaingia uwanjani
Kwa nini watangaze?Tuulizie na hizi za juzi yanga vs simba ngapi zimepatikana hazijatangazwa kama kawa