Zile sifa walikuwa wanasifiwa Azam mbona sizioni?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Waandishi na wachambuzi wachongo wengi walituinisha mechi ya jana ingekuwa kubwa sana na mechi bora kutokana na usajili wa Azam.
Hata hivyo binafsi ukiniuliza nitakwambia mechi hiyo ilikuwa ni kama ya Prison na Ihefu.

Azam walicheza kwa hofu sana huku yanga wakikamia sana mechi.
Azam walicheza kama ndio kwanza wamekutana na litimu kuubwa lenye ubingwa Afrika lakini yanga wao wakacheza kwa kukamia kama prison inavyokamiaga mechi.

Azam ni ya kawaida sana na atafungwa na vitimu vidogo vyenzie kama jana tu
 
Cashman najua na ni uhskika wewe ni Kolo og. Leo jioni mnakipiga na Singida fg.. ombi langu msijivunje kimaksudi kutukwepa, tukutane tar. 13/08/23 final uone moto wa avic.
 
Waandishi na wachambuzi wachongo wengi walituinisha mechi ya jana ingekuwa kubwa sana na mechi bora kutokana na usajili wa Azam.
Hata hivyo binafsi ukiniuliza nitakwambia mechi hiyo ilikuwa ni kama ya Prison na Ihefu.

Azam walicheza kwa hofu sana huku yanga wakikamia sana mechi.
Azam walicheza kama ndio kwanza wamekutana na litimu kuubwa lenye ubingwa Afrika lakini yanga wao wakacheza kwa kukamia kama prison inavyokamiaga mechi.

Azam ni ya kawaida sana na atafungwa na vitimu vidogo vyenzie kama jana tu
Azam itafungws na wote lakini sio Simba

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Waandishi na wachambuzi wachongo wengi walituinisha mechi ya jana ingekuwa kubwa sana na mechi bora kutokana na usajili wa Azam.
Hata hivyo binafsi ukiniuliza nitakwambia mechi hiyo ilikuwa ni kama ya Prison na Ihefu.

Azam walicheza kwa hofu sana huku yanga wakikamia sana mechi.
Azam walicheza kama ndio kwanza wamekutana na litimu kuubwa lenye ubingwa Afrika lakini yanga wao wakacheza kwa kukamia kama prison inavyokamiaga mechi.

Azam ni ya kawaida sana na atafungwa na vitimu vidogo vyenzie kama jana tu
Tuambie mara ya mwisho simbwa kamfunga Azam lini? Kama ni timu mbovu uwa unashindwa nini kumfunga? Kama ni ivyo basi uwa anakutana na simbwa mbovu zaidi yake ndiyo maana uwa ufurukuti unalambishwa Ice cream tu kwa kwenda mbele
 
Hivi aliekamia ni Yanga au Azam ?
Maana zile faulo walizocheza wachezaji wa Azam ,halafu unasema Yanga walikamia
Anyways,kuna wachambuzi walisema kua Yanga itakua ya Tatu ,nyuma ya Simba na Azam,ngoja tuone mwisho wa msimu
 
Cheki kolo hili linavyotapatapa, Azam kakamia halafu hakua na mpango namna gani atachomoka kwenye mtego wa Yanga. Wewe unakuja JF kuharisha eti Yanga ndio alikamia lakini ukiangalia kiuhalisia Azam ndio walicheza rough nyingi kuliko Yanga na bado hawakufanikiwa kabisa
 
Tuambie mara ya mwisho simbwa kamfunga Azam lini? Kama ni timu mbovu uwa unashindwa nini kumfunga? Kama ni ivyo basi uwa anakutana na simbwa mbovu zaidi yake ndiyo maana uwa ufurukuti unalambishwa Ice cream tu kwa kwenda mbele
weka na matokeo ya mwisho ya Simba na yanga
 
Azam kwa yanga anapata shida siku zote Ila kwa simba ni rahisi , mechi ya Jana azam alikamia na kupania ili alipize Kisasi cha fainali ya fa pamoja na kuumiza wachezaji muhimu Kama skudu na farid musa lakini ikashindikana
 
Back
Top Bottom