Waandishi na wachambuzi wachongo wengi walituinisha mechi ya jana ingekuwa kubwa sana na mechi bora kutokana na usajili wa Azam.
Hata hivyo binafsi ukiniuliza nitakwambia mechi hiyo ilikuwa ni kama ya Prison na Ihefu.
Azam walicheza kwa hofu sana huku yanga wakikamia sana mechi.
Azam walicheza kama ndio kwanza wamekutana na litimu kuubwa lenye ubingwa Afrika lakini yanga wao wakacheza kwa kukamia kama prison inavyokamiaga mechi.
Azam ni ya kawaida sana na atafungwa na vitimu vidogo vyenzie kama jana tu