Huyo Jemedari hana ajualo zaidi ya kuwa haters wa timu kubwa. Atakufa na roho yske mbayaHasa,Jemedari Saidi huyu jamaa ana roho mbaya sn dhidi ya Yanga.
Azam itafungws na wote lakini sio SimbaWaandishi na wachambuzi wachongo wengi walituinisha mechi ya jana ingekuwa kubwa sana na mechi bora kutokana na usajili wa Azam.
Hata hivyo binafsi ukiniuliza nitakwambia mechi hiyo ilikuwa ni kama ya Prison na Ihefu.
Azam walicheza kwa hofu sana huku yanga wakikamia sana mechi.
Azam walicheza kama ndio kwanza wamekutana na litimu kuubwa lenye ubingwa Afrika lakini yanga wao wakacheza kwa kukamia kama prison inavyokamiaga mechi.
Azam ni ya kawaida sana na atafungwa na vitimu vidogo vyenzie kama jana tu
Tuambie mara ya mwisho simbwa kamfunga Azam lini? Kama ni timu mbovu uwa unashindwa nini kumfunga? Kama ni ivyo basi uwa anakutana na simbwa mbovu zaidi yake ndiyo maana uwa ufurukuti unalambishwa Ice cream tu kwa kwenda mbeleWaandishi na wachambuzi wachongo wengi walituinisha mechi ya jana ingekuwa kubwa sana na mechi bora kutokana na usajili wa Azam.
Hata hivyo binafsi ukiniuliza nitakwambia mechi hiyo ilikuwa ni kama ya Prison na Ihefu.
Azam walicheza kwa hofu sana huku yanga wakikamia sana mechi.
Azam walicheza kama ndio kwanza wamekutana na litimu kuubwa lenye ubingwa Afrika lakini yanga wao wakacheza kwa kukamia kama prison inavyokamiaga mechi.
Azam ni ya kawaida sana na atafungwa na vitimu vidogo vyenzie kama jana tu
weka na matokeo ya mwisho ya Simba na yangaTuambie mara ya mwisho simbwa kamfunga Azam lini? Kama ni timu mbovu uwa unashindwa nini kumfunga? Kama ni ivyo basi uwa anakutana na simbwa mbovu zaidi yake ndiyo maana uwa ufurukuti unalambishwa Ice cream tu kwa kwenda mbele