Katika ubora wakoMkuu unajidanganya ukiwa ndotoni.
Ubora upi tena kabumbuKatika ubora wako
Mshana Jr na mzizi mkavu wamepata Serengeti wa kuwasaidia kaziUbora upi tena kabumbu
Hahaaaaa yaan mm siyajui kabisa hayo mavitu hua najaribu tu.Mshana Jr na mzizi mkavu wamepata Serengeti wa kuwasaidia kazi
Na wewe unaamini mambo hayo? [emoji15] [emoji15] [emoji115] .Mkuu unajidanganya ukiwa ndotoni.
Nafaham kua yapo maana nishashudia mengi zaidi ya hayo.Na wewe unaamini mambo hayo? [emoji15] [emoji15] [emoji115] .
Sio kweli.Ha haa aisee umenikumbusha mbali sana mtaaan
Kwetu tulikua tunatoka nyumban 5 asubuh kwenda shamba kuna
Mahaali.mkifka mnakutana na jiin dadek refuuuuuuuu kichz
Jeuz aiseeee nmekimbia sana
lete sababu maana wa townSio kweli.
Mkuu mm nimezaliwa na kukulia kijijini. Mambo ya uchawi na uganga nayafaham sana hunidanganyi.lete sababu maana wa town
Nyie kwa lig hamjambo
Achilia mbali kukimbizwa, hata kuwaona sijawahi, pamoja na kuishi maeneo mbalimbali yenye imani hizo.Nafaham kua yapo maana nishashudia mengi zaidi ya hayo.
Ushakimbizwa na ng'ombe wa mguu mmoja
Ndio ukae wazee tusimulie.Achilia mbali kukimbizwa, hata kuwaona sijawahi, pamoja na kuishi maeneo mbalimbali yenye imani hizo.