Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uliona yale magoli? Mchawi wenu sio Yebo bali mkajitathimini tatizo ni nini hadi safu yenu ya ulinzi imeruhusu magoli yanayo fanana kama yale ambayo walimwacha jamaa anapiga free header mara mbili bila mfungaji kusumbuliwa hata kidogo na mpira unatumbukia nyavuni kiulaini. Tatizo mwalimu au wachezaji. magoli hayana utata sijui goli la mkono au nanihii.Yebo ashaanza kutia mikono!,pumbavu Sana.
Hampo juu kihiivyo, sie tuko kisogoni kwenu tunawapumulia pumzi nzito ya kiume!Chura churani
Kwahyo nyie ndio vidume mnao ongoza ligi??Hampo juu kihiivyo, sie tuko kisogoni kwenu tunawapumulia pumzi nzito ya kiume!
Hahaaa hiyo ndio faida ya kujikusanyia point nyingiBahati tu ligi imesimama kama ingeendelea mgerudi kwenye zile nafasi zenu.
Nimesikitika sana ligi kusimama wakati ndio kwanza Yanga tulianza kutakata.Bahati tu ligi imesimama kama ingeendelea mgerudi kwenye zile nafasi zenu.
In Shaa AllahIla hakuna matata ngoja turudi na nguvu mpya tusajili na kiungo namba 6 mwingine.
Narudia tena ligi ilivyoanza wote tulikuwa na point 0 ila baada ya mzunguko wa kwanza kuisha simba 35 chura churani 32Ligi ikianza game moja tu inatosha kutuweka kileleni
kweli aseee wangeach msimu usiishe now tuendlee kuwanyoshaaaaNimesikitika sana ligi kusimama wakati ndio kwanza Yanga tulianza kutakata.