Kwa pale moshi, kumbi zilikuwa kama chache sana. Iliyotamba ni vijana club, Libert hotel, na green view ambayo baada ilikuja kuungua.
Ila kuna disco lilikuwa linapigwa kila mwisho wa mwezi pale pale ukumbi wa Tatcot k.c.m.c. ilikuwa ni sheeder.
Kumbi za cinema zilikuwa mbili. ABC Cinema na Plaza Cinema.