Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Wakuu wangu ni matumaini yangu ni wazima wa afya, hii leo tukumbuke na kukumbushana kumbi mbali mbali zilizo wahi kuvuma na maarufu za starehe enzi hizo kuanzia miaka ya 80 mpaka 90.... Naanza mimi kwa mfano pale mwenge kulikuwa na ukumbi wa mpakani bar, baadae ukabadilishhwa jina ukawa unaitwa silent inn ukiwa chini ya Fred rwegasira... 92 Hotel shekilango road... Tuendelee..