Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
- Thread starter
-
- #41
Mtalaka hatongozwi mzee. Huyo ndo vile kakukumbuka. Ushauri kitu gani bwana.....mi sio tatizo hapo.
Shemeji,
Habari yako kwanza maana unapotea sana wewe!!
Huyo Mdada unahakika na kile anachokwambia?? Kwanini nasema hivyo inawezekana wamekosana na Mumewe kwa sababu nyingine na kapigwa chini sasa anakutafuta mrudiane kijanja na wasiwasi huo kabisa mimi.
Pili iweje huyo mwanaume ahame leo wakati wamekaa wote kwa muda hakujua kama hapo ni nyumba aliyolipia mkewe?? Ukipata hayo majibu ya maswali utaelewa.
Kuna mtego na hizo sababu za jamaa kuondoka si za kweli. Na kama ni kweli huyo mwanaume anamapungufu sana.
Nitarudi baadae
Maty,
Haya maneno ya signature yako yanaweza kuwa na ujumbe mzito kwa huyu shostito, au we unasemaje?
"If you love something, set it free. If it comes back, it was, and always will be yours. If it never returns, it was never yours to begin with"
Wadau naomba mnisaidie kuchanga mawazo.
Zilipendwa wangu tuliyeachana miaka mitano iliyopita amenipigia simu anaomba ushauri.
Anasema mume wake amemtelekeza yeye na mtoto wake tangu alipokuwa na ujauzito wa miezi minne.Huyu shostito anafanya kazi kampuni moja ya simu na mumewe anafanya kazi serikalini.
Kisa cha mume kumkimbia ni kuwa mwanamke amekaidi kutekeleza matakwa yake. Mume anataka mkewe auze gari aliyonunua kabla hawajaoana na wahame toka kwenye nyumba wanayoishi mwenge iliyolipiwa na mke.Mume alihamia nyumbani kwa mkewe kabla hawajaoana, na mwanamke alinunua gari kabla hawajaoana, na jamaa hakuchangia hata senti moja.
Mwanamke kakataa kuuza gari ila amekubali kuhama nyumba kwa masharti kwamba iwe ni maeneo ya mwenge, sinza, kinondoni, ubungo ama mabibo. Mumewe anataka wahamie mbagala, kwamba ndipo anaweza kumudu kulipa kodi ya nyumba, hataki mkewe aongeze hata senti.Mume kuona mwanamke hatekelezi matakwa yake akaona isiwe tabu, kafunga virago amehamia mbagala.
Wadau mnisaidie, nimshaurije huyu shostito?
umeona eeee mprintie hii maneno my dia hii mistari michache inamtosha sana
Inawezekana kuna zaidi ya unachoambiwa.
Umetuletea upande mmoja wa story na kwa haraka tunaweza kumlaum huyo mume.
What if amekuwa akimsimanga especially during heated moments kwa maneno kama "mwanaume gani wewe...."; "huoni wanaume wenzio..."; "wewe nawe ni mwanaume.....? n.k
Kwa kawaida binadamu hatupendi kulinganishwa na "washindani wetu" maana huamsha kujihami. Ni dhambi kwa mfano kumlinganisha mwenzi wako na walioko nje. Kama kuna jambo unataka ajirekebishe mwambie nini wewe unapenda akifanye.
Miaka fulani ya nyuma nilipoteza kazi, nikawa sina kipato for three good years yet my woman preserved me kwa kila kitu.
At this point hatukuwa tumeoana BUT she went ahead marrying an unemployed person. After 1yr ya ndoa I got employed, now can supply mahitaji yake na familia na change inabaki. Hakunipanda kichwani hata siku moja!
Sioni kama wewe utakuwa mshauri wake mzuri hasa ukichukulia wewe ni Ex- wake.
Simply mwambie aongee na wasimamizi wa ndoa yao
hatuwezi kujua kila kitu kinachoendelea hapo. hayao aliyokueleza huyo zilipendwa wako ni ya upande mmoja. inawezekana naye anamfanya ajisikie inferiority kwa kuwa yeye kipato chake ni kidogo na kamkuta mke ana hatua kubwa ya kimaisha. kuna mawili hapo, aither ni inferioritu complex ambayo ni purely psychological issue au ni mke ana ubinafsi na mali zake alizochuma akiwa peke yake hadi mume anakosa amani.
kama lolote kati ya hayo limeishaleta tabu, ni vizuri mwanaume akapewa counseling badala ya kumpuuza ili naye sauti yake na nafasi yake kama mwanaume uhuishwe ndani ya ndoa yake. ushauri nasaha ukiwa unaendelea mwanamke ajitahidi kufuata anachopenda mwanaume huku akimshirikisha kila hatua na ikibidi ampe suti kubwa zaidi kwani mwenziye tayari kishaathirika kisaikolojia, kisha waanze maisha upya kwa pamoja, nyumba, magari ni vitu vya kupita tu na huyo mwanaume anayemdharau huwezijua Mungu kamuhifadhia nini stooni mwake, aweza kuwa siku moja juu kumzidi yeye na ndipo atakapoona haya hata kumdondoshea chozi la huba.
all in all, Mungu ametuita katika amani. ndoa isiyo na amani isyo ndoa na Mungu hapendezewi nayo. kuishi mbagala kwa amani ni bora mara milioni kuliko kuisho oysterbay au masaki bila amani? sembuse mwenge?
Nakupa ushauri,uufanyie kazi alafu ulete Feed Back hapapa siyo unapotea.
Katika ndoa kuna majuku ya mwanaume na majukua ya mwanamke.it took soo many years of cultural try and errors to have these roles for a man and woman.
Majukumu ya Mume ktk ndoa.
Usalama wa Familia- e.g Ukisikia wezi nje utamtuma Mkeo aende kuangalia kuna nini?sometime unajua kuwa hapa lazima upokee kichapo lakini haina jinsi inabidi ukikubali kwa kuwa in jukumu lako kama Baba.eg.2 Gari limeharibika fundi kaja unamtuma mkeo au unaenda mwenyewe.Taa mbovu,bomba limepasuka etc mifano iko mingi tu hata ulaya its the same way.
Kufikiri kwa niaba ya familia ,msaidizi wa fikra ni mke,ila final Decision ni ya Mume.
Hapa haina ujanja ukifanya maamuzi mabovu kama baba basi familia ukoo wote utakulaumu,hata siku moja uwezi kusema eti lillikuwa wazo la mama.ktk bible kuna mstari kuwa Mwanaume ni kichwa cha familia ....
Kuprovide Lishe ya Familia,mke anaweza kuchangia ila siyo Awe the Main bread Winner na baba upo tuu utekelizi majukumu hayo.
Kuprovide chakula ni jambo la msingi sana,hata kama hauna employment just go out,beba zege,fagia barabara,just do anything usikae ndani usubiri Wife alete.hapo ndio respect inakuja,muulize mwanamke yeyote ambaye amepitia kuwa main breadwinner.
Mshauri rafiki yako Arudi kwa Mumewe Mbagala ,Gari auze wanunue anayotaka ,kama huyo rafiki yako anajali Family atamfuata mumewe ila kama hapendi family mwambie AMuache awe Single mother then mzee utakua na extra Spare tyre.
Majukumu ya Mke ni mengi sana kuliko hayo,na ni ya muhimu sana ili iwe familia kwani bila mke nyumba haiwi nyumba.Mume ana majukumu machache ya msingi .Punde MUME akiyatelekeza majukumu yake ,hapo ndipo kuwa mume kunaisha na inferiority complex zinapoanza.
hatuwezi kujua kila kitu kinachoendelea hapo. hayao aliyokueleza huyo zilipendwa wako ni ya upande mmoja. inawezekana naye anamfanya ajisikie inferiority kwa kuwa yeye kipato chake ni kidogo na kamkuta mke ana hatua kubwa ya kimaisha. kuna mawili hapo, aither ni inferioritu complex ambayo ni purely psychological issue au ni mke ana ubinafsi na mali zake alizochuma akiwa peke yake hadi mume anakosa amani.
kama lolote kati ya hayo limeishaleta tabu, ni vizuri mwanaume akapewa counseling badala ya kumpuuza ili naye sauti yake na nafasi yake kama mwanaume uhuishwe ndani ya ndoa yake. ushauri nasaha ukiwa unaendelea mwanamke ajitahidi kufuata anachopenda mwanaume huku akimshirikisha kila hatua na ikibidi ampe suti kubwa zaidi kwani mwenziye tayari kishaathirika kisaikolojia, kisha waanze maisha upya kwa pamoja, nyumba, magari ni vitu vya kupita tu na huyo mwanaume anayemdharau huwezijua Mungu kamuhifadhia nini stooni mwake, aweza kuwa siku moja juu kumzidi yeye na ndipo atakapoona haya hata kumdondoshea chozi la huba.
all in all, Mungu ametuita katika amani. ndoa isiyo na amani isyo ndoa na Mungu hapendezewi nayo. kuishi mbagala kwa amani ni bora mara milioni kuliko kuisho oysterbay au masaki bila amani? sembuse mwenge?
Zilipendwa wangu tuliyeachana miaka mitano iliyopita amenipigia simu anaomba ushauri.
HATA HIVYO MWAMBIE - MAPENZI SIO MATERIAL THINGS - AKAE NA MUMEWE "WASHAURIANE" - WAMWOMBE MUNGU - JIBU LITAJITOKEZA.................... KWANI MUNGU ANAFANYA NJIA PASIPO KUWA NA NJIA
h
Zilipendwa wangu tuliyeachana miaka mitano iliyopita amenipigia simu anaomba ushauri.
HAPO KUWA MKWELI - JAMANI MMEACHANA FIVE YEARS - BADO UNA MAWASILIANO NAYE??? ANAJUA ULIPO - ANAJUA UNAKOFANYA KAZI/BIASHARA ETC. HADI SIMU .................MMMMMMM ..... mwambie akishaolewa asahau ZILIPENDWA... au anataka "baby come back" - yaani kama hamkuweza kuishi pamoja - mbona bado anakuona wa MAANA HADI ANATAKA USHAURI KWAKO????
HATA HIVYO MWAMBIE - MAPENZI SIO MATERIAL THINGS - AKAE NA MUMEWE "WASHAURIANE" - WAMWOMBE MUNGU - JIBU LITAJITOKEZA.................... KWANI MUNGU ANAFANYA NJIA PASIPO KUWA NA NJIA
h
And then a hero comes along With the strength to carry on
And you cast your fears aside And you know you can survive
So when you feel like hope is gone Look inside you and be strong
And you'll finally see the truth That a hero lies in you