Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
- Thread starter
- #61
:twitch:Mwambie wewe upo tayari kuhamia kwake na kuwa mume ***** kwake! Hivyo aachane na huyo anayetaka ahamie Mbagala na akukaribishe wewe Mwenge ili mwendeshe maisha yenu pamoja! Ila ukubali kuwa house-boy wake tu!!!!!!!!!!!!!!!!!:sick:
Utajuaje kama ndicho kilinikimbiza toka kwake??
mazee kumbuka huyo ni mke wa mtu, hata kama wancomflict na kwa sasa wametengana lakini ndoa yao haijasambaratika.
Hakuna namna yeyote mimi na yeye tunaweza kuendesha maisha pamoja.
I have my own life and i'm enjoying:coffee: