Ukila na kisu au kijiko ndio hunawi mikono?Siku hizi uma, visu na vijiko vinachukua nafasi ya maji ya kunawa mikono. Uzungu uzunguni!!
Watu wanaweka nini au unakuwa mlango mmoja tu? Mambo mengine ni ukosefu wa pesa tu labda uweke mlango wa milion 3 kama ule wa benki ndiyo usiweke grill hapo sawa.Kuweka grill mlangoni
Ndio inatumika sana kwa sasa. Wachina wameishusha bei sanaWatu wanaweka nini au unakuwa mlango mmoja tu? Mambo mengine ni ukosefu wa pesa tu labda uweke mlango wa milion 3 kama ule wa benki ndiyo usiweke grill hapo sawa.
Mchwa pia ni tatizo sehemu nyingiFrem za mbao ni nzuri kuliko za chuma , mbao ni gharama kubwa kuliko vioo
Ni kweli mbao za sasa ni mbovu na hazidumu zinaliwa na wadudumbao ngumu ni gharama sana, mfano frem za mbao za mniga zingekuwa bei sawa na frem za Aluminium nafikiri watu wengi wangetumia frem za mbao za mninga.Hakuna nyumba ya kisasa ambayo inatumia frame za mbao kwanza hata upatikanaji wa mbao nzuri na imara ni wa shida mbao za sasa nyingi ni za mashambani
Bora mchwaMchwa pia ni tatizo sehemu nyingi
Tulipofikia hata wakinawa mavi yapo pale pale mtu kabandika mikucha 3cm anachokinawa nini? Lipe kijiko tu hakuna linachokinawa mikucha Ina accumulation ya H. pylori wa week zaidi ya mbili yaani umpe sanitizer apake then aanze kufakamiaKwa nini hii inapotea ? Watu watanawia mikono wapi kabla ya kula ?
Ukiacha mambo ya fasheniKuna vitu ambavyo zamani kidogo vilikuwa vinafanyika katika ujenzi na sasa hivi vimeonekana ni vya kizamani na wengi hawavifanyi tena mfano
2. Kupiga Chupping
4. Dali za mbao
5. Kutumia Flat bar kwenye Grills za madirisha..siku hizi wengi wanatumia square pipe dirisha zima au round pipe.
5. Mapaa yaliyorefuka sana yanapendwa ila naona kama nayo yanaanza kukosa mvuto
🤣Kwa nini hii inapotea? Watu watanawia mikono wapi kabla ya kula?
Kuna imani zinasema hilo halikubaliki 🤣Siku hizi umma, visu na vijiko vinachukua nafasi ya maji ya kunawa mikono. Uzungu uzunguni!!
Hata mlango wa mbao unatoshaWatu wanaweka nini au unakuwa mlango mmoja tu? Mambo mengine ni ukosefu wa pesa tu labda uweke mlango wa milion 3 kama ule wa benki ndiyo usiweke grill hapo sawa.
Wananawia wapi wanapotaka kula?Kuweka kasink ka kunawia mikono dinning naona nayo inaanza kupotea taratibuu
Haya watu wameacha sababu gharama yake ni kubwa karibu mara mbili. Ni imara na yanadumu zaidi, na likifanyiwa finishing nzuri linakuwa zuri sanaMadirisha yenye frame za mbao
kwanini unawe na unatumia uma na kisu na kijiko? sinki dining lisipotunzwa linaleta harufu. Na si kazi rahisi kulitunza, ukizingatia maji ya mgao.Kwani ukitumia umma au kijiko hautakiwi kunawa mikono, hao sio wazungu ila ni washamba tu, sink au sehemu ya kunawia ni kitu muhimu sana kuwa karibu na dining room.
Gereji bado zinajengwa ni vile tu zinakuwa designed vizuri na unakuta haziwekewi mageti ya kufunga na kufungua, imekua Kama car shade iliyounganishwa na nyumbaKwa nini wenye magari wanajenga nyumba siku hizi bila garage iliyoungana na nyumba? Ndio maana wanaibiwa magari!
Ila madirisha ya mbao yalikuwa kiboko ya vibaka! Usiku unalifunga lote unabaki unapata hewa kupitia vent