Zilipendwa katika ujenzi

Zilipendwa katika ujenzi

Kuweka grill mlangoni
Watu wanaweka nini au unakuwa mlango mmoja tu? Mambo mengine ni ukosefu wa pesa tu labda uweke mlango wa milion 3 kama ule wa benki ndiyo usiweke grill hapo sawa.
 
Watu wanaweka nini au unakuwa mlango mmoja tu? Mambo mengine ni ukosefu wa pesa tu labda uweke mlango wa milion 3 kama ule wa benki ndiyo usiweke grill hapo sawa.
Ndio inatumika sana kwa sasa. Wachina wameishusha bei sana
 
Hakuna nyumba ya kisasa ambayo inatumia frame za mbao kwanza hata upatikanaji wa mbao nzuri na imara ni wa shida mbao za sasa nyingi ni za mashambani
Ni kweli mbao za sasa ni mbovu na hazidumu zinaliwa na wadudumbao ngumu ni gharama sana, mfano frem za mbao za mniga zingekuwa bei sawa na frem za Aluminium nafikiri watu wengi wangetumia frem za mbao za mninga.
 
Kwa nini hii inapotea ? Watu watanawia mikono wapi kabla ya kula ?
Tulipofikia hata wakinawa mavi yapo pale pale mtu kabandika mikucha 3cm anachokinawa nini? Lipe kijiko tu hakuna linachokinawa mikucha Ina accumulation ya H. pylori wa week zaidi ya mbili yaani umpe sanitizer apake then aanze kufakamia
 
Kuna vitu ambavyo zamani kidogo vilikuwa vinafanyika katika ujenzi na sasa hivi vimeonekana ni vya kizamani na wengi hawavifanyi tena mfano

2. Kupiga Chupping

4. Dali za mbao

5. Kutumia Flat bar kwenye Grills za madirisha..siku hizi wengi wanatumia square pipe dirisha zima au round pipe.

5. Mapaa yaliyorefuka sana yanapendwa ila naona kama nayo yanaanza kukosa mvuto
Ukiacha mambo ya fasheni
Dari ya mbao ni imara kuliko hizo gypsum
chuping ni imara kuliko hizo skiming
Flat bar zikiwa na thickness kubwa ni nzuri kiusalama na kwa suala la mwanga kuingia mwingi
 
Watu wanaweka nini au unakuwa mlango mmoja tu? Mambo mengine ni ukosefu wa pesa tu labda uweke mlango wa milion 3 kama ule wa benki ndiyo usiweke grill hapo sawa.
Hata mlango wa mbao unatosha
 
Kwa nini wenye magari wanajenga nyumba siku hizi bila garage iliyoungana na nyumba? Ndio maana wanaibiwa magari!

Ila madirisha ya mbao yalikuwa kiboko ya vibaka! Usiku unalifunga lote unabaki unapata hewa kupitia vent
 
Kwani ukitumia umma au kijiko hautakiwi kunawa mikono, hao sio wazungu ila ni washamba tu, sink au sehemu ya kunawia ni kitu muhimu sana kuwa karibu na dining room.
kwanini unawe na unatumia uma na kisu na kijiko? sinki dining lisipotunzwa linaleta harufu. Na si kazi rahisi kulitunza, ukizingatia maji ya mgao.
 
Kwa nini wenye magari wanajenga nyumba siku hizi bila garage iliyoungana na nyumba? Ndio maana wanaibiwa magari!

Ila madirisha ya mbao yalikuwa kiboko ya vibaka! Usiku unalifunga lote unabaki unapata hewa kupitia vent
Gereji bado zinajengwa ni vile tu zinakuwa designed vizuri na unakuta haziwekewi mageti ya kufunga na kufungua, imekua Kama car shade iliyounganishwa na nyumba
 
Back
Top Bottom