Zilipendwa Marijani Rajabu’Jogoo la shamba

Zilipendwa Marijani Rajabu’Jogoo la shamba



Hawa walikuwa wasanii kweli wanaumiza vichwa ujumbe unafika kwa rika lote.unaweza kuusikiliza hata ukiwa na mtu wa aina yoyote, ila wengi wao wamekufa kwenye maisha ya umaskini.music hawakufaidika nao.ila jumbe zao zimebaki na zitaendelea kubaki masikioni mwa wengi.labda hiki ndiyo kizazi cha dhahabu enzi hizo.
 
Back
Top Bottom