Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
mmmh akili za usiku hizi... we ni me au ke?
HeheheheeeTehe tehe tehe kamuulize mama yako atakwambia me ni nani.
Mkuu sikiliza nyimbo ya Rais Wa Wasafi Diamond Plutnumz bbeeeiiib....Inaitwa Hellow new:
Ametia kionjo cha huu mchezo wetu wa zaman tukiwa vidudu. Naamini utaupenda
Sana yani" waywayback utotoni ilikua raha sana.Safi sana, vionjo hivyo wanapovitumia huwa vinatukumbusha mbali.