ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Kuna kitu kinaitwa wosia wa baba

Mbona hamuelewani... Enyi watoto Wangu? Mmekuwa kama Si ndugu... Ndugu wa damu mojaaaaa... kila mtu kashika lake si kwa uzima wala mauti... Hata nasi wazee wenu mmetutupaaa
 
Nakuomba mume wangu eeeee.. Nikumbuke bado na watoto.. Hunijali kwa chumvi... Hunijali kwa sukari........
 
Oh jojina, siku ulipoondoka uliniacha nalia na majonzi, umeondoka kuishi mbali nami jojina wa mama eenhee. Sipati usingizi nikikumbuka, tuliishi mimi nawe jojina eenheee
 
Dunia ya sasa imani zimekwisha, nyoyo za watu zimebadilika, siwanawake si wanaume, si wazee wala si vijana, bali wote ni binadamu mmoja
 
Aah simu yako nimepata na hayo maneno yako yote, wacha kuleta matata ee mimi ni mkubwa kwako sema kweli, ninakwambia wacha matata ndugu nakwambia, mbona waleta maneno mengi kweli hayakufai.

Mtoto acha kupiga mayowe wacha watu waone wenyewe x6
 
aaa jesca, mpenzi wangu wee, wewe ni hakimu wa penzi letu.

bosi wetu alitumia cheo chakee oooo
bosi wetu alitumia wadhifa wakeee ooooo. kulisambaratisha penzi letu.

Nakuleta majonzi moyooni kwangu, nakuleta maumivu moyo kwangu.

jesca mama naliaaa.

Hawa ni msondo ngoma. baba natasha ndio aliimba hapo.
 
Kuna kitu kinaitwa wosia wa baba

Mbona hamuelewani... Enyi watoto Wangu? Mmekuwa kama Si ndugu... Ndugu wa damu mojaaaaa... kila mtu kashika lake si kwa uzima wala mauti... Hata nasi wazee wenu mmetutupaaa
Wosia wa baba zipo mbili. kuna aliomba mbaraka mwinshehe na kuna ule wameimba msondo ngoma na maalim gurumo ndio aliutunga.

wanangu wote njoooni, kaeni chini niwaambie,maisha ya sasa ni magumu, tofauti naya zamaneeee.

wakati wa ujana wangu mimi baba yenuuuuu. shati shilingi mia unapata, lakini hivi sasa hada soda hupatieee( tumekusikia baba)

jiepusheni na anasa fanyeni kazi kwa bidii kama kuna mkorofi kati yenu aache mara moja...
 
Dunia ya sasa imani zimekwisha, nyoyo za watu zimebadilika, siwanawake si wanaume, si wazee wala si vijana, bali wote ni binadamu mmoja
fundi cherehani kaletewa vitambaa,
mwenyewe kataka suruali 3,
fundi akajibu hewalaa vimefika,
kumbe mfukoni fundi kachachaaa,
vitambaa kauza na pesa katia ndani,
mwenyewe kafuata suruali zakee,
fundi analia yoyoyoo
anaulizwa fundi walia nini,
fundi ana oooo nimeibiwaaa.
 
[emoji239][emoji239] [emoji239] umenifurahisha sana, kachinje huyo umle kesho
 
Manenoooo sikuzoea naneni maneno Mimi sipendeleii wacha manenoooo weka muziki eeh maneno maneno Mimi sipendelei
 
Kuna kitu kinaitwa wosia wa baba

Mbona hamuelewani... Enyi watoto Wangu? Mmekuwa kama Si ndugu... Ndugu wa damu mojaaaaa... kila mtu kashika lake si kwa uzima wala mauti... Hata nasi wazee wenu mmetutupaaa
Ngoma naielewa sana hii

Old school flan amaizing hv
 
shati dukani shilingi 6 unapataaaa lakini sasa shilingi 6 hata soda/mkate upatiee
 
Kuna nyimbo fulani imentoka jina kali sana ya bendi 80s au 90s kibwagizo chake kinaimbwa;

mamaa yamenikutaa.
Maamaa yamenikutaa.

Humo ndani saxaphone imepigwa vya kutosha.naomba kujua jina la hii nyimbo
 
Kuna nyimbo fulani imentoka jina kali sana ya bendi 80s au 90s kibwagizo chake kinaimbwa;

mamaa yamenikutaa.
Maamaa yamenikutaa.

Humo ndani saxaphone imepigwa vya kutosha.naomba kujua jina la hii nyimbo
Visa alivyonifanyia Rehani sitovisahau kamwe amenishawishi nimuache mume wangu ili anioe...
Nimeachana na mume wangu nimekwenda kwa Rehani ee baada ya muda si mrefu kasema niondoke sina tabia nzuri.
Ndugu zangu mlio olewa mjiadhari na wadanganyifu msiachane na waume zenu kuwafuata hao...
Mamaa yamenikuta...

Enzi hizo kulikuwa na kufumbiana hasa pale Gurumo alipoondoka Mlimani na kwenda OSS.Akapigwa dongo katika wimbo Sauda(Mv Mapenzi part2).Naye akajibu kupitia wimbo wa Chatu mkali.Kina Cosmas Chidumule wakaja na Mtoto akililia wembe.
Muziki huu wa zamani ni mtamu sana ila tu unakosa msukumo kutoka kwa wadau mbalimbali.Kuhusu saxaphone kulikuwa kuna watu kama Michael Enock 'Teacher',John Luiza,Cosmo Mkomwa,Tuweli,Mafumu,King Maluu,Abdallah Kimeza,Lendi,Machaku,Mnenge,Ali Rashid na wengine wengi.
 
Uzuri wangu wa Tausi mama
Maringo kwetu kawaida......
 
Mkuu naomba unisaidie jina la huo wimbo na bendi iloimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…