ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

muziki wa dansi Tanzania wa kuanzia miaka ya 90 tunaweza kuujadili?

kuanzia Diamond sound,Beta Musica n.k
 
Kuna wimbo Sijui jinale Ila kuna mistari ipo naikumbuka kama hii "[emoji445]ona Sasa wivu wako nilikubembeleza, usiku mzima ubadili uamuzi wako nilijua waliokudanganya wako wapi, wamekuacha hunapakuanzia [emoji445]
Kama utakuwa unaupata huu wimbo nimvuzishia jina lake
Huo wimbo unaitwa MINUU na bendi marquiz
 
Habari wanajamvi?
Kuna nyimbo ya Patric Balisidya sina hakika kama yu hai au la inaitwa NDOA nakumbuka mistari yake kwa mbaali

Naanza sasa
Ndoa ni jambo la sifa,tena jambo la fahari kubwa katika historia ya mwanadamu
Kaaatika hali yoyote,kaeni kwa amani nawahusia hadi kifo kije kiwatenganishe
Kaatika hali yoyote,kaeeni kwa amani nawaombea mpka kifo kije kiwatenganishe...
Mistari mingine nimesahau...
Hii nyimbo MC alinipigia siku naoa mwaka 2004 mpka leo nimeishika na naishi katika maneno yake..
Niambie unanyimbo gani unaikumbuka?
 
...unakaribia kuoa sio?!, mi nakumbuka... "mwisho wa mwezi kuna mambo eee ama kweli ni furaha tu, ni furaha tu!, mwisho wa mwezi hata lugha hubadilika ee habari gani hugeuka kuwa how are u, hakuna tabu hugeuka kuwa no sweat!, samahani wanasema sorry eee sorry"
 
Tufurahi leo tufurahi na wana sikinde tucheze leo ngoma ya ukae.......
 
Solemba solemba solemba aaaaa,marehemu Niko Zengikala...ilikuwa hatarii sana.
 
Back
Top Bottom