ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Kikuku kinanukia aah kikuku kinanukia eehh,we mwana we acha uroho yeke yeke mshua yeke yeke..
 
Ili tuishi vizuri nakujenga familia bora yenye thamani na penzi..Hiba imekuaje mpenzi mbona umebadilika'aaa..Hiba hooh Hiba,imekuaje Hiba...?
 
Ogopa Tapeli
Penzi la Ulaghai
Kapu la Mjanja
Julie

1. Ogopa Tapeli-Watu hao wameeneaaa sanaa kila pembe hapa nchiniii kazi yao kuibia watu jina lao matapeliii. Huibia watu mashamba magari pesa hizo zoteee ni za bandia jina lao ni tapeli(Eddie SHEGGIE-RIP)

2.Penzi la ulaghai-Ama kweli kizurii hakikosi kasoroo jama eee kwa muda mfupi niliyoishi nae, nilimpenda sana lakini mwenzangu penzi lake likawa la ulaghai eee la Ulagahaii.

Nimekanyaga motoo, yamenikuta kijana mwenzenu nifanye nini.
Hata wazazi wangu kweli walimpenda sana lakini mwenyewe kajiharibiaaa, tabia ya mchumba wangu ingefanana na urembo wake kweli angefanikiwaaa, siku ya kuondoka kwake alisomba kila kitu ndani ya nyumba nikabaki sina kitu(Eddie SHEGGIE-RIP)

3.Kapu la Mjanja-Ndege wa rangi moja ee huruka pamoja eee, uliona wapi Bundi kwenye kundi la njiwaaa eeeee kaka eee kaka eeee

Eddie Sheggie-Dunia haina siri mwenyewe watambua aa kaka eee kaka ee, sasa utalala wapi ee kaka ee kaa eeew, leo utakula nini kaka eeee kakaa eeeee eeee aiiibuuuuu.

Chorus all(Vijana jazz)- Ona sasa huna pa kula na kulala umekua kama bundi ukioneka mkosi wabaki wawaya waya ee dunia haina siri elewa kapu la mjanja mjinga hatii mkono, umebaki wawaya wawaya maji yameshamwagika.

Eddie Sheggie-Shetani kamwingia..........


Daaa!


hatari sana Vijana Jazz imekufa, siamini macho yangu ladha.


4.Julie(Washirika Tanzania Stars/Eddie Sheggie)

Julieee eee eeee nikupe nini uridhikeee cha kukupa sinaa mamaaaa eeee*3

Ufukara nilio nao oooo mamaaa maaaa, ufukara umekua kashfa ya mapenzi yanguuu kwako kwakooooo ingawa................




Wadau, huo ndiyo ulikua muziki hasa ulioitambulisha Tanzania. Nikikumbuka vibao kama NAOMI cha DDC Mlimani Park, Busu Pande Tatu wa Bimalee, Baba Jane 1&2 wa Bantu Group, Makulata n.k nasikia Uchungu kuwa mambo hayo yamebaki historia na hata redio nyingi hawapigi kabisa,either kwa kuwa hata watangazaji wake wengi walikua watoto enzi hizo au hawapendi tu. Kwa hakika natafuta CD collection ya nyimbo zote za hayati EDDIE SHEGGIE!
 
Habari wanajamvi?
Kuna nyimbo ya Patric Balisidya sina hakika kama yu hai au la inaitwa NDOA nakumbuka mistari yake kwa mbaali

Naanza sasa
Ndoa ni jambo la sifa,tena jambo la fahari kubwa katika historia ya mwanadamu
Kaaatika hali yoyote,kaeni kwa amani nawahusia hadi kifo kije kiwatenganishe
Kaatika hali yoyote,kaeeni kwa amani nawaombea mpka kifo kije kiwatenganishe...
Mistari mingine nimesahau...
Hii nyimbo MC alinipigia siku naoa mwaka 2004 mpka leo nimeishika na naishi katika maneno yake..
Niambie unanyimbo gani unaikumbuka?


Huu wimbo unaitwa "Kuoana." Patrick alimuimbia dada yake baada ya kuolewa. Patrick ni marehem kwa sasa. Muziki wa Tanzania ni mzuri sana ila radio zetu za kijinga ndizo zinajitahidi kuua muziki wetu lakini hawawezi kwani wapenzi tuko wengi.
 
"...Nanawa mikono, naupumzisha moyo wangu...." maneno ya Super Motisha "Mze Dede," anakuambia mkono mtupu haulambwi.
 
Habari wanajamvi?
Kuna nyimbo ya Patric Balisidya sina hakika kama yu hai au la inaitwa NDOA nakumbuka mistari yake kwa mbaali

Naanza sasa
Ndoa ni jambo la sifa,tena jambo la fahari kubwa katika historia ya mwanadamu
Kaaatika hali yoyote,kaeni kwa amani nawahusia hadi kifo kije kiwatenganishe
Kaatika hali yoyote,kaeeni kwa amani nawaombea mpka kifo kije kiwatenganishe...
Mistari mingine nimesahau...
Hii nyimbo MC alinipigia siku naoa mwaka 2004 mpka leo nimeishika na naishi katika maneno yake..
Niambie unanyimbo gani unaikumbuka?


...Froncy eeee wanitesatesa Froncy, froncy eee waniuwauwa froncy, ...froncy eeeee!

Jee umekuta penzi Adimu rohoni mwangu Froncy, jee umekuta marobota ya uongo ndani ya moyo wangu! froncy ee froncy eee...eeee froncyiii

Jumamosi, jumapili, jumataatu Froncy, jumanne jumatano alhamisi ijumaa, zimekuwa ni siku za kifungo toshaa kwangu nyumbani Froncyii!

Najaribu kulala usiku, kuupoza uchungu wa moyo, lakini nikiamkaa...mambo ni kama jaana Froncyii....
 
Mama alivyomtendea babaa ni vibaya sana
Mama leo nieleze ni yupi baba alie nizaa
Kama mimi ni mtoto asie na baba nifahamishe
Majirani walinieleza baba yangu hupo hai
Sasa ni miaka 15 sijamuona baba yangu
Heri unipeleke kwetu nyumbani kwa baba yangu
Eeh mama Eeh nipeleke kwa baba
Visa ulivyomtendea baba yangu kwa kweli jama sikuridhika
Hata matendo uliyoyatenda mbele ya mungu huna
sheria
Heri nile mapumba na kauzu bora nikiwa kwa baba yangu.
 
Back
Top Bottom