ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Hongera sana ila sijaziona za Saboso, Msondo Nambari moja Mpaka Tano, Mganga Nmba Moja na Mbili za Jamhuri Jazz na Nimuokoe Nani ya Msondo Ngoma
 
Mkuu nahitaji ule wimbo wa nimekusamehe lkn sitokusahau wanaupigaga redio free kwenye kipindi chao cha sitosahau.
 
Hongera sana ila sijaziona za Saboso, Msondo Nambari moja Mpaka Tano, Mganga Nmba Moja na Mbili za Jamhuri Jazz na Nimuokoe Nani ya Msondo Ngoma
Msondo zipo kaka na hizo nyingine nazidi Kuzipakia, Kwanzia Mshenga Namba moja hadi Mbili mpaka Shakaza utazipata
 
Mkuu asante sana kwa uzi huu. Kuna nyimbo moja ya Tx Moshi inaitwa Ashbahi naweza ipata pia?
 
Kuna ile nyimbo
"Utalia utaliaa usinione
Utanikumbuka utanikumbuka usinione"
Ni ya Kundi gan vile
 
Kuna ile nyimbo
"Utalia utaliaa usinione
Utanikumbuka utanikumbuka usinione"
Ni ya Kundi gan vile
Daah Mkuu kwakweli sijaitambua Bado ngoja wadau watakupa Title na Mwimbaji then tuone ni kwa namna gani vipi utaweza ipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…