ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ngoja nijalibu kuwatafuta wazee wenzangu akina franco luambo na the great pepe kale akiwa na empire bakuba.....unaonekana kijana lakn umefany vema sana kutukumbuka wazee
Ha ha haa Wewe tulia Hadi WENGE BCBG utazipata mkuu.
 
Kaka nifanyie mpango wa Chona - Deo Mwanambilimbi. Natanguliza shukrani.
 
Ha ha haa Wewe tulia Hadi WENGE BCBG utazipata mkuu.
dah unanikumbusha jamaa angu flani kwa sasa marehemu nilikuwa nae pale kamata aliitwa Jones wa ukae alipenda ngoma yao flani iliitwa hi ho ha(kama nimechanganya bhas itakuwa ilikuwa a wenge musica!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…