ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao


Umenikumbusha mbali sana, Hapo mkwajuni kulikuwa na kiwanja cha TP Nyundo na eneo lote lilikuwa mashamba ya viazi mpaka kinondoni CCM, hope ulikuwa unapitia Stereo Bar, kisha Langata, then Kinondoni Shamba
 
Balantanda , Dede mdio hivyo tena una wasifu wake? Naona uko kimya sana

Cc: BAK , lemutuz ,
Mkuu..Nadhani huu ulioandaliwa na Radio Free Africa - RFA Mwanza utasaidia..Uliandaliwa wakati Dede akiwa DDC Mlimani Park Orch...Kabla hajaenda Msondo Ngoma Music Band..Amefariki akiwa anaitumikia Msondo.

 
Mwenye wimbo wa vijana jazz unaitwa Siri ya ndani...tafaadhali
 
Baada ya kudownload hakikisha Una rename file zilipendwa band 1980,1990.mp3 ndio utaweza Ku play.
 
Mkuu..Nadhani huu ulioandaliwa na Radio Free Africa - RFA Mwanza utasaidia..Uliandaliwa wakati Dede akiwa DDC Mlimani Park Orch...Kabla hajaenda Msondo Ngoma Music Band..Amefariki akiwa anaitumikia Msondo.

Natafuta wimbo unaoitwa neema, ntaupataje?
 
Jamani nimehangaika sana kutafuta nyimbo hizi;
1)bizman-ningekuwa kwetu....2) ule wimbo wanaoupiga Deutsche welle kwenye kile kipindi cha makala ya Africa kila jumapili saa saba mchana. Naomba hizi nilizotaja kwanza....kwa Mwenye Nazi.
 
Tatizo nini tukusaidie?
Nimeingia link hiyo nikadownload MB kama 110 hivi. Nimeenda kule kwenye downloads manager kucheki nmekuta,ila haifunguki. Nmerudi tena hapa kuingia link inaniambia nidownload tena. Nmechoka hoi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…