Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BALANTANDA,yooo imenikumbusha mengi ,ahsante mno kipindi nchi imetulia,ina heshima na adabu,kwangu mpaka nitakapokwenda kwenye mapumziko yangu ya milele ni Mlimani Park orch.wana Sikinde ngoma ya ukaye,wakipiga pale Magomeni Kondoa kipindi hicho ,mara baada ya dansi kwisha taratibu unavuka bonde lako la magomeni,unaibukia mkwajuni huyoo hadi kinondoni shamba hakugusi mtu ni vicheko njiani huhitaji taxi wala nini only miguu yako,whats went wrong ndani ya nchi yetu ?now unajifikiria kutembea kutoka pale Saigon hadi Narungombe just few meters away.
Mkuu..Nadhani huu ulioandaliwa na Radio Free Africa - RFA Mwanza utasaidia..Uliandaliwa wakati Dede akiwa DDC Mlimani Park Orch...Kabla hajaenda Msondo Ngoma Music Band..Amefariki akiwa anaitumikia Msondo.
Dah Nimeikubali! Mkuu umefanya kazi nzuri sana. Yaani Shukran sana
Mkuu..Nadhani huu ulioandaliwa na Radio Free Africa - RFA Mwanza utasaidia..Uliandaliwa wakati Dede akiwa DDC Mlimani Park Orch...Kabla hajaenda Msondo Ngoma Music Band..Amefariki akiwa anaitumikia Msondo.
110 mb
Mimi na play kwenye simu. Unakiwa hilo file ukisha lidownload uli rename hakikisha mwamisho liwe .mp3 waweza liita zilipendwa.mp3
PoaMimi na play kwenye simu. Unakiwa hilo file ukisha lidownload uli rename hakikisha mwamisho liwe .mp3
imekubali asanteMimi na play kwenye simu. Unakiwa hilo file ukisha lidownload uli rename hakikisha mwamisho liwe .mp3 waweza liita zilipendwa.mp3
Tatizo nini tukusaidie?Mbona nashindwa kupata mavituz?!
Nimeingia link hiyo nikadownload MB kama 110 hivi. Nimeenda kule kwenye downloads manager kucheki nmekuta,ila haifunguki. Nmerudi tena hapa kuingia link inaniambia nidownload tena. Nmechoka hoi!Tatizo nini tukusaidie?