Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sio sahivi eti "ngololooo ah ngolooo ah" sheenzi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sio sahivi eti "ngololooo ah ngolooo ah" sheenzi kabisa
Kuna kitu kinaitwa wosia wa babaHabari wanajamvi?
Kuna nyimbo ya Patric Balisidya sina hakika kama yu hai au la inaitwa NDOA nakumbuka mistari yake kwa mbaali
Naanza sasa
Ndoa ni jambo la sifa,tena jambo la fahari kubwa katika historia ya mwanadamu
Kaaatika hali yoyote,kaeni kwa amani nawahusia hadi kifo kije kiwatenganishe
Kaatika hali yoyote,kaeeni kwa amani nawaombea mpka kifo kije kiwatenganishe...
Mistari mingine nimesahau...
Hii nyimbo MC alinipigia siku naoa mwaka 2004 mpka leo nimeishika na naishi katika maneno yake..
Niambie unanyimbo gani unaikumbuka?
Habari wanajamvi?

Wosia wa baba zipo mbili. kuna aliomba mbaraka mwinshehe na kuna ule wameimba msondo ngoma na maalim gurumo ndio aliutunga.Kuna kitu kinaitwa wosia wa baba
Mbona hamuelewani... Enyi watoto Wangu? Mmekuwa kama Si ndugu... Ndugu wa damu mojaaaaa... kila mtu kashika lake si kwa uzima wala mauti... Hata nasi wazee wenu mmetutupaaa
fundi cherehani kaletewa vitambaa,Dunia ya sasa imani zimekwisha, nyoyo za watu zimebadilika, siwanawake si wanaume, si wazee wala si vijana, bali wote ni binadamu mmoja
[emoji239][emoji239] [emoji239] umenifurahisha sana, kachinje huyo umle keshofundi cherehani kaletewa vitambaa,
mwenyewe kataka suruali 3,
fundi akajibu hewalaa vimefika,
kumbe mfukoni fundi kachachaaa,
vitambaa kauza na pesa katia ndani,
mwenyewe kafuata suruali zakee,
fundi analia yoyoyoo
anaulizwa fundi walia nini,
fundi ana oooo nimeibiwaaa.
Ngoma naielewa sana hiiKuna kitu kinaitwa wosia wa baba
Mbona hamuelewani... Enyi watoto Wangu? Mmekuwa kama Si ndugu... Ndugu wa damu mojaaaaa... kila mtu kashika lake si kwa uzima wala mauti... Hata nasi wazee wenu mmetutupaaa
shati dukani shilingi 6 unapataaaa lakini sasa shilingi 6 hata soda/mkate upatieeWosia wa baba zipo mbili. kuna aliomba mbaraka mwinshehe na kuna ule wameimba msondo ngoma na maalim gurumo ndio aliutunga.
wanangu wote njoooni, kaeni chini niwaambie,maisha ya sasa ni magumu, tofauti naya zamaneeee.
wakati wa ujana wangu mimi baba yenuuuuu. shati shilingi mia unapata, lakini hivi sasa hada soda hupatieee( tumekusikia baba)
jiepusheni na anasa fanyeni kazi kwa bidii kama kuna mkorofi kati yenu aache mara moja...
Visa alivyonifanyia Rehani sitovisahau kamwe amenishawishi nimuache mume wangu ili anioe...Kuna nyimbo fulani imentoka jina kali sana ya bendi 80s au 90s kibwagizo chake kinaimbwa;
mamaa yamenikutaa.
Maamaa yamenikutaa.
Humo ndani saxaphone imepigwa vya kutosha.naomba kujua jina la hii nyimbo
Habari wanajamvi?
Kuna nyimbo ya Patric Balisidya sina hakika kama yu hai au la inaitwa NDOA nakumbuka mistari yake kwa mbaali
Naanza sasa
Ndoa ni jambo la sifa,tena jambo la fahari kubwa katika historia ya mwanadamu
Kaaatika hali yoyote,kaeni kwa amani nawahusia hadi kifo kije kiwatenganishe
Kaatika hali yoyote,kaeeni kwa amani nawaombea mpka kifo kije kiwatenganishe...
Mistari mingine nimesahau...
Hii nyimbo MC alinipigia siku naoa mwaka 2004 mpka leo nimeishika na naishi katika maneno yake..
Niambie unanyimbo gani unaikumbuka?
Mkuu naomba unisaidie jina la huo wimbo na bendi iloimbaVisa alivyonifanyia Rehani sitovisahau kamwe amenishawishi nimuache mume wangu ili anioe...
Nimeachana na mume wangu nimekwenda kwa Rehani ee baada ya muda si mrefu kasema niondoke sina tabia nzuri.
Ndugu zangu mlio olewa mjiadhari na wadanganyifu msiachane na waume zenu kuwafuata hao...
Mamaa yamenikuta...
Enzi hizo kulikuwa na kufumbiana hasa pale Gurumo alipoondoka Mlimani na kwenda OSS.Akapigwa dongo katika wimbo Sauda(Mv Mapenzi part2).Naye akajibu kupitia wimbo wa Chatu mkali.Kina Cosmas Chidumule wakaja na Mtoto akililia wembe.
Muziki huu wa zamani ni mtamu sana ila tu unakosa msukumo kutoka kwa wadau mbalimbali.Kuhusu saxaphone kulikuwa kuna watu kama Michael Enock 'Teacher',John Luiza,Cosmo Mkomwa,Tuweli,Mafumu,King Maluu,Abdallah Kimeza,Lendi,Machaku,Mnenge,Ali Rashid na wengine wengi.