ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

fundi cherehani kaletewa vitambaa,
mwenyewe kataka suruali 3,
fundi akajibu hewalaa vimefika,
kumbe mfukoni fundi kachachaaa,
vitambaa kauza na pesa katia ndani,
mwenyewe kafuata suruali zakee,
fundi analia yoyoyoo
anaulizwa fundi walia nini,
fundi ana oooo nimeibiwaaa.
Dunia ya sasa imani imekwisha
Watu wanakwenda mzaba mzaba
Penye watu kumi binadamu mmoja.
 
VIDEO : King Kikii na OSS Masantula 1980 - ''Haruna Kaka''

Source: Juma Seif

c.c asrams ; Balantanda ; bonget ; sky Éclat ; sodoku ; mgibeon ; barafu ; BelindaJacob ; Klins : BAK ; Chakaza
 
Video Live : Orch Safari Sound Masantula 1980 Freddy Ndala Kasheba alitambulisha kikosi kizima wakiwemo Twahir Moh'd/ShikaShika/Kababa/Nkulukulu Moto / Monga Kiomba / Kikumbi Mwana Mpango a.k.a King Kikii / Mama Ngalula Shatanda...., vijana wa zamani msaada, mnaweza kuongezea yale mnayokumbuka miaka hiyo jiji la Dar-es-Salaam likiwaka moto kwa starehe na sherehe, maana hii ni kumbukumbu muhimu ktk historia ya muziki wa dansi Tanzania.

Source: Juma Seif
 
Habarini wapendwa,

poleni na majukumu ya haoa na pale ya kujenga taifa.

hivi naweza kupata wapi nyimbo hizi kwenye cd au flash sio tape audio. Au mahali gan nawez kubadilisha nyimbo za audio cassette (tape) zinyonywe kwenye flash au cd

1.Chidumule- Libarikiwe neno hili
2.Marehemu Shwaibu album nzima yenye nyimbo kama Christmas sio yenu, Bwana niumbie moyo mpya, Atakuja kuchukua kitu chema.

please, msaada
 
Mbona nyimbo za juzi tu hapa, nilikuja haraka nikajua zilipendwa kweli. Tafuta youtube, tumwimbo twa juzi tu huto hata Tuntufye keishazaliwa!
 
Habarini wapendwa,

poleni na majukumu ya haoa na pale ya kujenga taifa.

hivi naweza kupata wapi nyimbo hizi kwenye cd au flash sio tape audio. Au mahali gan nawez kubadilisha nyimbo za audio cassette (tape) zinyonywe kwenye flash au cd

1.Chidumule- Libarikiwe neno hili
2.Marehemu Shwaibu album nzima yenye nyimbo kama Christmas sio yenu, Bwana niumbie moyo mpya, Atakuja kuchukua kitu chema.

please, msaada
Ingia app ya waptrick unazipata zote
 
Mkuu nenda pale tbc au radio one mzigo wanao....
 
Back
Top Bottom