Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani sasa anapingana na wewe kwenye ukweli kwamba they are nothing katika hilo! Shida ni bandiko lenye kukolezwa chumvi, when you say, they were engaged in fighting, ndio nimekushangaa! Si kingine!Mitanzania shida kweli kwa inferiority complex ndio munaenda mbali sana HAMJIAMINI HATA
apart from sophisticated weapons USA is nothing apart from Nuclear weapons Russia na USA is nothing
How many times did France, Norway and Britain invade USA? In the early 1900????Before world war one??????
How kama si The manhattan project proper management Japan and Germany were winning world war 2
VIETNAM 25,000 American soldiers died before they surrendered and stopped fighting
Afghanistan wame shindwa, Iraq pia.....
Si watoe sanction kwa Nuclear waone kama wataifikia Africa South Africa had 27 nuclear warheads in the 70s USA AND EU imposed heavy sanctions on them miafrika ikafwata tu..... Iran pia ina Nuclear moja tu Kila nchi bara uropa na marekani ZIMEJAAAAAA Povu......
Itafika siku waafrika an enemy will come matching and wipe like 10 countries ndio mtaanza kujiweka mbele
Wakati huu kuna vita kila upande wa bara hili letu
Lakini tuna GDP ya 3.4trn$ 2times larger than Russia
Russian military expenditure ni
89bn$
USA military expenditure ni
560bn$
China military expenditure ni
156bn$
Africa combined military expenditure ni
51bn$
Lakini Africa combined tuko na the largest military of upto 23mn Registered and unregistered depending on development rate by countries
USA wana 5mn
China wana 4mn
Lakini vita ikikuja badala miafrika ipigane na umoja mtaanza politics na ndio maana tutapigwa
Angalia Libya - African union ordered all countries to halt air strikes but France na USA zilikuja zika nyamazisha AU
mitanzanania niambieni how 10-50 agents watajiingisha ikulu ya nchi nyingine na silaha na waachwe waende tu!!!
Inferiority complex will kill you
Without the Nuclear weapons and A good airforce America us nothing!!!!
Just look at documentaries about world wars 1&2 America was losing the war!!!!
One day Africa will unite and Africans will build the strongest military this world has ever seen and Africa will be the last super power
Empires have risen and have fallen Americans won't be leaders forever!!!!!
Toka babylon - roman emipre-Catholic church-America All empires rise beyond the occupants of the present imagination but they all fall
AM SURELY THERE WAS A TIME PEOPLE IN EUROPE THOUGHT THE CATHOLIC EMPIRE WILL NEVER FALL.... THIS DAYS PEOPLE DONT GO TO CHURCH THERE CHURCHES REMAIN EMPTY... THERE WAS A TIME WHEN NOT GOING TO CHURCH WOULD SENTENCE YOU TO HANG - AMERICA WILL NOT BE TOP 1 FOREVER!!!
ECONOMY OF AFRICA
SIZE 32MN KM²
View attachment 356546
Economy of Russia
Size 18mn km²
View attachment 356547
You Kenyans are nothing than cowardsWabongo wengi hawajuikumake arguments intelligently.
Wengi ni ******,tusamehe omera,labda IQ itapanuka mbele ya safari,as for now we are hopelless
what is the relation between cowardness and what we are discussing here?You Kenyans are nothing than cowards
Thank you Swastika man.You Kenyans are nothing than cowards
Chunga mdomo wako tusi!.Jirekebishe!Ishu ya mtu mmoja usirundike na wasiohusika.uvivu wa kusoma. typical tanzanian
Mkuu, lakini kasema typical Tanzanian sio Tanzanians kwa maana hiyo kaongelea mmjoa ambaye ndiye walikuwa wanajibizana.Chunga mdomo wako tusi!.Jirekebishe!Ishu ya mtu mmoja usirundike na wasiohusika.
Nimesoma yote, sijaona hata sehemu moja ikionyesha namna walivyozipiga, e.g ngumi ngapi, mateke, makofi au karate hakuna sehemu ya mwili ambayo wamejeruhiana! Sasa walizipigaje? Au umekopi na kupesti hata hujui kilichoandikwa!?
Sawa bosi.Mkuu, lakini kasema typical Tanzanian sio Tanzanians kwa maana hiyo kaongelea mmjoa ambaye ndiye walikuwa wanajibizana.
Upo sahihi kabisa mkuu, Africa must rise oneday. Ila itarise iwapo tu kutakua na mpango madhubuti na wa siri kuiunganisha Africa. Kwa sababu hakuna taifa nje ya Africa litakalokua tayari kuiona Africa moja. Tuna kila rasilimali Africa ila tumekosa mipango tu na watu wenye nia madhubuti, mfano mzuri ni Tanzania, haiwezekani na haitatokea tukaendelea kwa kuendeleza siasa za majitaka na kutafuta umaarufu badala ya kufanya siasa za mendeleo. Tanzania tuna kila kitu ila tumekosa mipango tu na watu wenye nia ya kweli ya kuiona Tanzania imara. Nchi yoyote ile ni lazima iwe na mipango madhubuti ambayo kiongozi yoyote yule ajaye aifuate na kuisimamia. Sio huyu anajenga viwanda, yule anakuja anabinafsisha anakuja mwingine anajenga nyumba za serikali anakuja mwingine anauza, huyu anakuza demokrasia yule anakuja kuikandamiza. Sasa mtu unajiuliza hawa wanafanya hivi wanakomoana au kila kiongozi anafanya analoona yeye ni sahihi. Mwishoni unakuja kujua taifa halina mipango, mipango anayo raisi akiondoka anaondoka na mipango yake. Mimi ninaamini Africa ipo siku ita-rise tu na itakua most powerful empire of all the time And the rise must begin in East Africa. Ukiangalia vizuri Nchi za SADC zinaelewana vizuri na kuchukuliana kama ndugu ukija Uganda, Burundi, South Sudan Congo na Rwanda pia kuna ukaribu ambao kama ikitokea kiongozi mmoja mzuri akafanya lobbying inaweza kuwa nchi moja na ikatanuka baadae kutengeneza African Empire.Mitanzania shida kweli kwa inferiority complex ndio munaenda mbali sana HAMJIAMINI HATA
apart from sophisticated weapons USA is nothing apart from Nuclear weapons Russia na USA is nothing
How many times did France, Norway and Britain invade USA? In the early 1900????Before world war one??????
How kama si The manhattan project proper management Japan and Germany were winning world war 2
VIETNAM 25,000 American soldiers died before they surrendered and stopped fighting
Afghanistan wame shindwa, Iraq pia.....
Si watoe sanction kwa Nuclear waone kama wataifikia Africa South Africa had 27 nuclear warheads in the 70s USA AND EU imposed heavy sanctions on them miafrika ikafwata tu..... Iran pia ina Nuclear moja tu Kila nchi bara uropa na marekani ZIMEJAAAAAA Povu......
Itafika siku waafrika an enemy will come matching and wipe like 10 countries ndio mtaanza kujiweka mbele
Wakati huu kuna vita kila upande wa bara hili letu
Lakini tuna GDP ya 3.4trn$ 2times larger than Russia
Russian military expenditure ni
89bn$
USA military expenditure ni
560bn$
China military expenditure ni
156bn$
Africa combined military expenditure ni
51bn$
Lakini Africa combined tuko na the largest military of upto 23mn Registered and unregistered depending on development rate by countries
USA wana 5mn
China wana 4mn
Lakini vita ikikuja badala miafrika ipigane na umoja mtaanza politics na ndio maana tutapigwa
Angalia Libya - African union ordered all countries to halt air strikes but France na USA zilikuja zika nyamazisha AU
mitanzanania niambieni how 10-50 agents watajiingisha ikulu ya nchi nyingine na silaha na waachwe waende tu!!!
Inferiority complex will kill you
Without the Nuclear weapons and A good airforce America us nothing!!!!
Just look at documentaries about world wars 1&2 America was losing the war!!!!
One day Africa will unite and Africans will build the strongest military this world has ever seen and Africa will be the last super power
Empires have risen and have fallen Americans won't be leaders forever!!!!!
Toka babylon - roman emipre-Catholic church-America All empires rise beyond the occupants of the present imagination but they all fall
AM SURELY THERE WAS A TIME PEOPLE IN EUROPE THOUGHT THE CATHOLIC EMPIRE WILL NEVER FALL.... THIS DAYS PEOPLE DONT GO TO CHURCH THERE CHURCHES REMAIN EMPTY... THERE WAS A TIME WHEN NOT GOING TO CHURCH WOULD SENTENCE YOU TO HANG - AMERICA WILL NOT BE TOP 1 FOREVER!!!
ECONOMY OF AFRICA
SIZE 32MN KM²
View attachment 356546
Economy of Russia
Size 18mn km²
View attachment 356547
Recce apana tambua.....😀Kenyans kwa kuongeza chumvi kwenye habari hawajambo, tushawazoea.
No wonder hata viongozi wao huwalisha propaganda because they know their ego.
hAYA ULIYOANDIKA NDIO INFERIORITY COMPLEX NA KUJIFARIJIMitanzania shida kweli kwa inferiority complex ndio munaenda mbali sana HAMJIAMINI HATA
apart from sophisticated weapons USA is nothing apart from Nuclear weapons Russia na USA is nothing
How many times did France, Norway and Britain invade USA? In the early 1900????Before world war one??????
How kama si The manhattan project proper management Japan and Germany were winning world war 2
VIETNAM 25,000 American soldiers died before they surrendered and stopped fighting
Afghanistan wame shindwa, Iraq pia.....
Si watoe sanction kwa Nuclear waone kama wataifikia Africa South Africa had 27 nuclear warheads in the 70s USA AND EU imposed heavy sanctions on them miafrika ikafwata tu..... Iran pia ina Nuclear moja tu Kila nchi bara uropa na marekani ZIMEJAAAAAA Povu......
Itafika siku waafrika an enemy will come matching and wipe like 10 countries ndio mtaanza kujiweka mbele
Wakati huu kuna vita kila upande wa bara hili letu
Lakini tuna GDP ya 3.4trn$ 2times larger than Russia
Russian military expenditure ni
89bn$
USA military expenditure ni
560bn$
China military expenditure ni
156bn$
Africa combined military expenditure ni
51bn$
Lakini Africa combined tuko na the largest military of upto 23mn Registered and unregistered depending on development rate by countries
USA wana 5mn
China wana 4mn
Lakini vita ikikuja badala miafrika ipigane na umoja mtaanza politics na ndio maana tutapigwa
Angalia Libya - African union ordered all countries to halt air strikes but France na USA zilikuja zika nyamazisha AU
mitanzanania niambieni how 10-50 agents watajiingisha ikulu ya nchi nyingine na silaha na waachwe waende tu!!!
Inferiority complex will kill you
Without the Nuclear weapons and A good airforce America us nothing!!!!
Just look at documentaries about world wars 1&2 America was losing the war!!!!
One day Africa will unite and Africans will build the strongest military this world has ever seen and Africa will be the last super power
Empires have risen and have fallen Americans won't be leaders forever!!!!!
Toka babylon - roman emipre-Catholic church-America All empires rise beyond the occupants of the present imagination but they all fall
AM SURELY THERE WAS A TIME PEOPLE IN EUROPE THOUGHT THE CATHOLIC EMPIRE WILL NEVER FALL.... THIS DAYS PEOPLE DONT GO TO CHURCH THERE CHURCHES REMAIN EMPTY... THERE WAS A TIME WHEN NOT GOING TO CHURCH WOULD SENTENCE YOU TO HANG - AMERICA WILL NOT BE TOP 1 FOREVER!!!
ECONOMY OF AFRICA
SIZE 32MN KM²
View attachment 356546
Economy of Russia
Size 18mn km²
View attachment 356547
Ingerkuwa na maana kama wangewazuia hadi mwisho, lkn kumpiga mtu mikwara alafua akaingia walijidhalilisha na kujiaibishaHapo safi, RECCE commandoes huwa nawakubali, yaani walisimama kidete tena kwa kifua hadi ikabidi simu zipigwe. Ingekua Bongo, wakiona wazungu huwa wanababaika sana, kwanza Kingereza tu kingetosha jamaa waruhusiwe kupita.
Ingerkuwa na maana kama wangewazuia hadi mwisho, lkn kumpiga mtu mikwara alafua akaingia walijidhalilisha na kujiaibisha
inaonekana hawana planning skills. Simu zilitakiwa kupigwa kabla hawajaja. kama nyie mna utaratibu wenu walipaswa kuujua na kupigiana hizo simu. Hiyo mission ilipaswa kuwa planned and analysed kwa kina na kila factor kufikiliwa before excution. au mawasiliano hayakuwepo kwa sababu ya lugha maana wezetu kiinglish chenu huwa kimechanganykna na kiluo/kuyu.Jifunze kitu kinaitwa chain of command. Kaa na wajeda wakupe darasa, cha msingi unadumisha na kuzingatia amri, kama umeamrishwa asipite mtu na silaha, unasimama kidete hadi mwisho. Wakipigiana simu huko juu na amri ije ya kuwaruhusu hao, basi unasalimu.
inaonekana hawana planning skills. Simu zilitakiwa kupigwa kabla hawajaja. kama nyie mna utaratibu wenu walipaswa kuujua na kupigiana hizo simu. Hiyo mission ilipaswa kuwa planned and analysed kwa kina na kila factor kufikiliwa before excution. au mawasiliano hayakuwepo kwa sababu ya lugha maana wezetu kiinglish chenu huwa kimechanganykna na kiluo/kuyu.