Zilipigwaje? walinzi wa ikulu ya Kenya vs american Secret Serice


hamna kitu hapo hahahahaa, sifa za kijinga zitawaua. muache kuendesha mambo mannually
 
Hatubabaishwi na lugha ya kigeni na kama ni shamba la bibi mbona mnalialia kama wajane kuhusu tanzania??
 
Aisee hauleweki ,maelezo mengi hayaendani Na post
 
Jamani ni kweli wakenya kwa chumvi wanatisha.Huwa nawaona hapa job wangu, hata kama kitu hakijui bora tu aliokisema ni mkenya utasikia "HIYO NDIO KENYA BWANA
 
Mkuu hope uko salama. Sasa hivi raisi wa Kenya sio Kibaki ni Uhuru
 
Mbona AL shabaab mnawashindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…