ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Mwaka ulioisha ulikuwa na maajabu yake jamani,loh!nadhani hatutayashuhudia tena.
_mazishi ya kitaifa ya kamanda mbwa.
_Dr Shika na Mia tisa yake,
_Babu seya na mwanawe kusamehewa.
_Lulu mtoto mzuri kufungwa jela.
_Mara paaap !Wema ni kamanda
_Kuamsha madude madhabahuni.
_Ihiii iii,not tu zet ekstent.
_Lahaula!usinijibu hivyo mimi wewe.
_Ukahaba wa kisiasa.
_Pyuu pyuu!sijui amevunja duka la ushirika huyu...
_ Muhimbili hapafai hata kidogo,ila pesa itapendeza.
_Wasiojulikana nao tukawasikia wakitamba mjini.
_Sisomeshi wazazi.
Nimechoka,endelea na wewe basi.
_mazishi ya kitaifa ya kamanda mbwa.
_Dr Shika na Mia tisa yake,
_Babu seya na mwanawe kusamehewa.
_Lulu mtoto mzuri kufungwa jela.
_Mara paaap !Wema ni kamanda
_Kuamsha madude madhabahuni.
_Ihiii iii,not tu zet ekstent.
_Lahaula!usinijibu hivyo mimi wewe.
_Ukahaba wa kisiasa.
_Pyuu pyuu!sijui amevunja duka la ushirika huyu...
_ Muhimbili hapafai hata kidogo,ila pesa itapendeza.
_Wasiojulikana nao tukawasikia wakitamba mjini.
_Sisomeshi wazazi.
Nimechoka,endelea na wewe basi.