LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,241
- 940
KAMA MUNATAKA SAURCE YA WIZI WA CCM muulizeni Lyatonga Mrema uchaguzi uliopita pale kura yake aliojipigia na kuambiwa kwenye kituo chake hakupata hata kura moja huu ndio usanii wa Chukua Chako Mapema.
source please?!
taarifa zinaenea kwamba zile karatasi za kura zilizokuwa zimekamatwa kule Tunduma kwenye lori inasemekana zimerudishwa Zambia na badala yake zimeingizwa nchini kwa ndege bila kutua kwenye kiwanja chochote cha ndege za abiria, bali sasa zimetua kwenye kiwanja cha ndege za kijeshi kwenye kambi ya Ngerengere, mkoani Morogoro.
Imetumika mbinu ileile kama ya Meremeta kwani ukiongelea Meremeta basi inaelezwa kwamba ni suala la kijeshi na hivyo ni suala la ulinzi na usalama wa Taifa na halipaswi kuongelewa. Na kwa sababu Ngerengere hapakanyagiki kiurahisi basi hata ndege ikitua pale hakuna anayeweza kuweka wasiwasi.
Ndiyo sababu si rahisi kumsikia hadharani mtu akitaja kwamba zile kura tayari zimo nchini lakini sasa ziko Ngerengere zikisubiri kusambazwa kulikopangwa.
Baada ya kufanikisha kuziingiza sasa imebaki kuzisambaza ktuoka hapo Ngerengere jeshini. Hivyo inabidi kukaa mkao wa kujua kuwa hilo lipo.
Tuendelee kusambaratisha mbinu hata kwa kutaarifiana hivi.
Sasa kama jambo hili lina ukweli nchi inaelekea pabaya, ndo maana nchi hii haisongi mbele, viongozi wakipatikana bila ridhaa ya wananchi hata mungu hawezi kutoa baraka zake. Tumuombe sana mora kwa nguvu zake hizo kura ziangamizwe na pia sisi tuwe tayari ku-take risk ili kulinda haki yetu.
WAO WANA PESA NA SHETANI SISI TUNA MUNGU, UPANDE UPI UTASHINDA?
UANGALIFU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna watu wanajifanya wana usalama humu ndani na kujidai kuleta habari nyeti.Topic mara ya kwanza niliifuatilia na kuna mchangiaji aliyeajitambulisha kama ?16,naomba mchunguze mchango wake nahisi alikuwa anapotosha wana jamvi kwa maksudi.
Hana lolote huyo achana naye, utawaweza ccm kwa ushabiki wa kitoto!!!?? Yaani wananikeraaaa na nimewachoka halafu siwapendi kupita kiasi.Wewe ukinitonya wataka nikuseme?
Wanajamii tusiwe na hofu, hiyo mizigo itakapokuwa inatoka Ngerengere gari zote zitapinduka na kuwaka moto. Hakuna karatasi litakalosalia, na muda wa kutengeneza zingine utakuwa ushapita, hivyo Rais wetu Dr. Slaa atakuwa anajiandaa kuapishwa bila wasiwasi. 2010 ni mwisho wa chakachuaAsante kwa taarifa mkuu. Mungu yu upande wetu tutashinda. Hii vita ni ya kiroho na kimwili na sasa tutamwomba Mungu awaumbue mchana kweupe.