robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
Ww unaona wakat upi?
Manyumbu bhana mna shida sana.....na tutazidi kuwanyoa bila mkasiMashindano yalishaisha siku nyingi tu.....Kama mmekwenda kununua viewer mmeliwa bure pesa zetu
Pita ivtueshimiane mkuu [emoji123]
Kiba ndo wakwanza kujiunga vevo hata wimbo wake wa aje aliuweka kwenye channel acc yake ya vevo.....so fanya uchunguzi kwanza.Kwa wakati huu kiba yupo vevo mondi yupo yutubu ila ungefananisha wakati wote wapo vevo au yutubu ungeeleweka
Mm ni tim wizkid
Kiba ndo wakwanza kujiunga vevo hata wimbo wake wa aje aliuweka kwenye channel acc yake ya vevo.....so fanya uchunguzi kwanza.
Inakusaidia nini hii
Sawa.Manyumbu bhana mna shida sana.....na tutazidi kuwanyoa bila mkasi
Akili yako nahisi imejaa makamasi maana pamoja na kueleza vzur bado hujanielewa tu duuuh walimu wana kazi kwa kweli.....mond ana channel mbili vevo na YouTube ya kawaida.....vevo ana ngoma yake ya marry you ina viewz zaid ya 15M yaani ata kuo vevo mnapopasifia kiba kashavurugwa na domo.Basi usiwashindanishe kabsa coz wako tafautibmmoja ni vevo mmoja ni yutubu
So mwambie kiba au mond wote wawe yutubu au vevo ndo muwashindanishe
Akili yako nahisi imejaa makamasi maana pamoja na kueleza vzur bado hujanielewa tu duuuh walimu wana kazi kwa kweli.....mond ana channel mbili vevo na YouTube ya kawaida.....vevo ana ngoma yake ya marry you ina viewz zaid ya 15M yaani ata kuo vevo mnapopasifia kiba kashavurugwa na domo.
Kwani ENEKA,FIRE,I MISS YOU zina views ngapi kwa sasa kila moja?
Kuna itofauti gn kati ya vevo na youtubeUmeanza kutoka povu
Inayoshindanishwa ni seduce me na zilipendwa
Ndo nkasemaje zote hzo mbili zngekua ni yutubu tuu au vevo tuu hapo ndo ungeshindanisha sijasema mambo ya marry kwan iliopo sokoni ni marry u au zilipendwa
Naona naww umejaa makamasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Kuna itofauti gn kati ya vevo na youtube
Yaana ata zilipendwa ingekuwa vevo ingeizidi tu seduce me coz ata marry you ilitoka baada ya aje kutoka na ishapitwa viewz kitambo tu. Na izo zote zipo uko vevo unapopasifia ww.
Tuliza akili uje upya maana akili yako nashindwa kuelewa ninkiasi imejaa makamasi.
Ukitaka turudi uko naona utaadhirika tu ww na manyumbu wenzio......vipi kuhusu salome na aje au mwana na nitampata wapi, au vipi kuhusu chekecha na nasema nawe.Kwani ENEKA,FIRE,I MISS YOU zina views ngapi kwa sasa kila moja?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Labda unalipwa naona unajipanikisha kaka
Mm nina makamasi ww una mikamasi
Mm ni tim wizkid
Mond viewz zake zina_grow gradually siyo za kuforce kwa kampeni, kukesha youtube na promo kama unatafuta kura za urais au ubunge....na hii ime prove kuwa nguvu ya soda always huwa haichukui mda ku-expire......ni aibu kufanyiwa kampeni na promo kubwa alafu hata mwezi hujapita wimbo wako unafunikwa na ngoma isiyo na kampeni wala promo kutoka kwa diwani au balozi wa nyumba kumi.Hiyo " HATIMAYE" inaonesha mlilisubiri hilo kwa muda mrefu na HATIMAYE ndo imekuwa hahahahahaaaa Kiba hatar sana UKuwaendesha wanaume zaidi ya watano na mawigi yao na ukavunja marekods ya yutubu kama huna akili ukawakeshesha kuangalia video yao na "HATIMAYE" wamefanikiwa leo
yutubu=youtube... acha upimbiUmeanza kutoka povu
Inayoshindanishwa ni seduce me na zilipendwa
Ndo nkasemaje zote hzo mbili zngekua ni yutubu tuu au vevo tuu hapo ndo ungeshindanisha sijasema mambo ya marry kwan iliopo sokoni ni marry u au zilipendwa
Naona naww umejaa makamasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]yutubu=youtube... acha upimbi
Wenye Kiba wao wanasema ili ithibitike kuwa Kiba kaachwa, inabidi wachukuliwe vyuwa wa Kiba wote, kisha wazidishwe kwa 6, namba itakayopatika hapo wajumulishe eidha na vyuwa mmoja au wawili wa team zilipendwa hapo ndipo itadhiirika kuwa team Duce kuwa wako miguu juu, vinginevyo team Duce bado anaongoza eti kisa yeye yuko single na team mawigi wako 6. Hahahahaha.......
Usipanik mbna nagharamia haikupigiwa kampen na INA viewers wa kutosha tuuuu. .then hata mkimzidi sasa rekod alishavunja so mmemshindwa hahahahahaaaMond viewz zake zina_grow gradually siyo za kuforce kwa kampeni, kukesha youtube na promo kama unatafuta kura za urais au ubunge....na hii ime prove kuwa nguvu ya soda always huwa haichukui mda ku-expire......ni aibu kufanyiwa kampeni na promo kubwa alafu hata mwezi hujapita wimbo wako unafunikwa na ngoma isiyo na kampeni wala promo kutoka kwa diwani au balozi wa nyumba kumi.