Zima kiki washa mziki hatimaye Zilipendwa yaipiku Seduce me kwa views Youtube

Zima kiki washa mziki hatimaye Zilipendwa yaipiku Seduce me kwa views Youtube

Usipanik mbna nagharamia haikupigiwa kampen na INA viewers wa kutosha tuuuu. .then hata mkimzidi sasa rekod alishavunja so mmemshindwa hahahahahaaa
Mmeng'ang'ana na rkodi sijui rekod ipi......kipya kinyemi sisi kwetu ayo mambo tushazoea nakukumbusha tu meitake kushindana na domo jeshi kubwa lil hata wakiungana wasanii wote kishindana nae haiwez badilisha jambo.
 
Wenye Kiba wao wanasema ili ithibitike kuwa Kiba kaachwa, inabidi wachukuliwe vyuwa wa Kiba wote, kisha wazidishwe kwa 6, namba itakayopatika hapo wajumulishe eidha na vyuwa mmoja au wawili wa team zilipendwa hapo ndipo itadhiirika kuwa team Duce kuwa wako miguu juu, vinginevyo team Duce bado anaongoza eti kisa yeye yuko single na team mawigi wako 6. Hahahahaha.......
Iyo sababu ya kitoto maana ushahidi upo tena wakutosha kuwa kiba kwa domo ni mchumba......vevo kiba ndo wakwanza kujiunga lkn kaangalie subscribers nani kamzid mwenzie uje tuendelee
 
Na mlikesha kweli hamkulala na kampeni ya mange iliwabust lkn baada ya mange kuacha kampeni ngoma imepwaya na asa iv ipo ICU......rekodi my foot...
amna mashabiki wa kiba weng ni har ya chin hawana smart ila wangekuwa na smart 10 kwa 8 hrs
 
One artist vs wcb yote bado unataka seduce me iongoze view wakati zilipendwa wasanii ni weng
Ingekuwa hivyo basi video za DJ Khaleed zingekuwa zinaongoza kwa viewers Youtube.
 
Back
Top Bottom