Bawabu wa pili Senior Member Joined Nov 14, 2025 Posts 147 Reaction score 433 Jan 16, 2026 #1 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo. Soma pia: Dar, Jengo la National Social Security House Posta linawaka moto muda huu Your browser is not able to display this video.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo. Soma pia: Dar, Jengo la National Social Security House Posta linawaka moto muda huu Your browser is not able to display this video.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Jan 16, 2026 #2 Inapendeza
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jan 16, 2026 #3 Wakimaliza utuambie imepatikana hasara kiasi gani?
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,772 Reaction score 4,544 Jan 16, 2026 #4 Wangeliacha ili libaki majivu,majengo mengine hayana faida kujaza space tuu🙄
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 18, 2026 #5 Wauza sura... Cc: Mahondaw