Unamwacha mtoto mdogo ndani peke ake
Nlishawahi shuhudia nyumba mbili Moja iliungua ya pili ilinusurika yote ni watoto kuchezea viberiti
Nyie mmekaa tu huko hamna habari huku mwenzenu anachukua magazeti anawasha baadae akajaisahau moto ukashika kwenye shuka na neti