Zimbabwe ilikuwa na vikwazo vya kiuchumi lakini ilikuwa na bilionea kama Ginimbi

Yaani mtu kuchangia msibani lita 1,000 za dizeli nalo kweli linakuwa tangazo? Kwa bongo lita 1,000 za dizeli ni kama milioni mbili tu za kibongo.
 
Milionea wa Zimbabwe atazikwa na utajiri wake na watakaohudhuria kuvalia mavazi meupe.

nadhani ni kosa kumzika mtu na maburungutu ya ela maana ni uharibifu wa nyara za serikali
 
Mkuu huo utafiti umeuelewa vibaya wala hauko hivyo. Ni kwamba assume mtu amepooza, ila kichwa kinafanya kazi, halafu kuna mgonjwa hawezi kupona, basi yule aliyepooza kichwa chake kinaweza kuhamishiwa kwenye ule mwili.
Huyo Dr ni muitalia kafanyia panya kafaulu, mara ya kwanza ilikuwa anapata changamoto ya mwili kushambulia kichwa, ila miaka kama 5 iliyopita alisema ameweza kusolve hilo tatizo shida ikaja anataka binadam wa kujitolea amfanyie majaribio.
Kuna jamaa flani Mrussi amepooza mwili kichwa kinafanya kazi akawa amekubali, ila kaja change mawazo dakika za mwisho. Hivyo mpaka leo hakuna aliyejitolea.
 
Hawa utajiri wao umetoka nje ya Zimbabwe.hasa SA ndio walikotoa huo utajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…