Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Kwahiyo Mugabe alikuwa anakula pesa?Wazimbabwe isingekuwa Mugabe wangekuwa mbali zaidi ya South Afrika.
Hii render ya hii interchange imeshatumiwa na nchi kibao ikiwemo Ethiopia na Kenya, leo tena naskia toka kwako kwamba Zimbabwe nao wanatumia hii render, chamsingi tu nakushauri ewe muanzisha uzi urizike na ulichonacho na co kelele za waafrika mitandaoni, kama unavyoona Zimbabwe ndiyo kwanza wanataka kujenga interchange ya kwanza ila wewe nchini mwako tayari unazo, so kwanza Rizika.Serikali ya Zimbabwe imepata dola milioni 85 kujenga barabara yake ya kwanza ya ubadilishanaji (Interchange Road), Mbudzi Interchange Road jijini Harare.Serikali ilitangaza mipango na usanifu uko katika hatua za mwisho na ujenzi utaanza ndani ya muda mfupi.
Viongozi wetu kaeni mkao mzuri muangalie namna wenzenu wanavyotengeneza vitu tangible vya kuishi miaka na miaka sio hivi vidaraja mlivyotujengea hapo jiji la joto.
Sisi tumepigwa kutokana na ulimbukeni wetu.Serikali ya Zimbabwe imepata dola milioni 85 kujenga barabara yake ya kwanza ya ubadilishanaji (Interchange Road), Mbudzi Interchange Road jijini Harare.Serikali ilitangaza mipango na usanifu uko katika hatua za mwisho na ujenzi utaanza ndani ya muda mfupi.
Viongozi wetu kaeni mkao mzuri muangalie namna wenzenu wanavyotengeneza vitu tangible vya kuishi miaka na miaka sio hivi vidaraja mlivyotujengea hapo jiji la joto.
Ya Ubungo mchoro ulikuwa mzuri zaidi ya huu... Kilichojengwa sasa.....
Mungu awasaidie wajenge kadiri ya mchoro
Hivi ulisema hii interchange imejengwa wapi vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ubungo pale chini ya interchange ile nafasi ilitakiwa iwe supermarket ya machinga[emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi ulisema hii interchange imejengwa wapi vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliwafurumusha wakulima wa kizungu na hapo ndipo Zimbabwe ilipoporomoka.Kwahiyo Mugabe alikuwa anakula pesa?
Cha ajabu hizi interchange Uganda ni nyingi mno nadhani kutokana na jiografia ya miinuko na mabonde japo hii nchi ina uchumi wa kishkaji sana. So sio issue sana kikubwa ni kuondoa foleni za magari barabarani
Labda kwa sababu yule jamaa hayupo basi huenda tutapata vitu kama hivyo.Serikali ya Zimbabwe imepata dola milioni 85 kujenga barabara yake ya kwanza ya ubadilishanaji (Interchange Road), Mbudzi Interchange Road jijini Harare.
Serikali ilitangaza mipango na usanifu uko katika hatua za mwisho na ujenzi utaanza ndani ya muda mfupi.
Viongozi wetu kaeni mkao mzuri muangalie namna wenzenu wanavyotengeneza vitu tangible vya kuishi miaka na miaka sio hivi vidaraja mlivyotujengea hapo jiji la joto.
Hili watu wengi hawalioni wala kulisema yale madaraja kwakweli kitaalamu bado sio suluhisho ukija tena na yale matuta waliyoweka ndio sijui ujuzi wetu ndio umeishia hapo?Ya Ubungo mchoro ulikuwa mzuri zaidi ya huu... Kilichojengwa sasa.....
Mungu awasaidie wajenge kadiri ya mchoro