C Chumvi yao JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,580 Reaction score 5,563 Sep 21, 2025 #21 Na tena juzi tu hapa kachangia magari ya usd milion 4
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,705 Reaction score 30,041 Sep 21, 2025 #22 Logikos said: View: https://youtu.be/wPSzAWkKj7I?si=_LG__gY2sxRLke6T Click to expand... Hii hutuba hadi leo bado ina mashiko sana,yani utafikiri anazungumzia maswala mbayo tunayo hivi sasa
Logikos said: View: https://youtu.be/wPSzAWkKj7I?si=_LG__gY2sxRLke6T Click to expand... Hii hutuba hadi leo bado ina mashiko sana,yani utafikiri anazungumzia maswala mbayo tunayo hivi sasa
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Sep 21, 2025 #23 Tume ya kupambana na rushwa nchini Zimbabwe (ZACC) imetangaza kufungua jalada la uchunguzi dhidi ya Wicknell Chivayo mfanya biashara Mamlaka hiyo imesema itafanya uchunguzi bila upelendeleo juu ya rushwa za Wicknell Chivayo, Chivayo inasemekana amefanya ufisadi mkubwa kwenye mikataba aliyoingia na Serikali Pia Chivayo ameonekana na Marais mbalimbali kama William Ruto wa Kenya, Samia Suluhu wa TANZANIA, Emerson Mnangagwa wa Zimbabwe na Lazarus Chamwera wa Malawi
Tume ya kupambana na rushwa nchini Zimbabwe (ZACC) imetangaza kufungua jalada la uchunguzi dhidi ya Wicknell Chivayo mfanya biashara Mamlaka hiyo imesema itafanya uchunguzi bila upelendeleo juu ya rushwa za Wicknell Chivayo, Chivayo inasemekana amefanya ufisadi mkubwa kwenye mikataba aliyoingia na Serikali Pia Chivayo ameonekana na Marais mbalimbali kama William Ruto wa Kenya, Samia Suluhu wa TANZANIA, Emerson Mnangagwa wa Zimbabwe na Lazarus Chamwera wa Malawi
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 Sep 21, 2025 #24 Wote wako related na huyu jamaa lazima wachafuke