Zimbabwe: Mamlaka kumchunguza Wicknell Chivayokwa Kesi za Rushwa na Ufisadi

Tume ya kupambana na rushwa nchini Zimbabwe (ZACC) imetangaza kufungua jalada la uchunguzi dhidi ya Wicknell Chivayo mfanya biashara

Mamlaka hiyo imesema itafanya uchunguzi bila upelendeleo juu ya rushwa za Wicknell Chivayo,

Chivayo inasemekana amefanya ufisadi mkubwa kwenye mikataba aliyoingia na Serikali

Pia Chivayo ameonekana na Marais mbalimbali kama William Ruto wa Kenya, Samia Suluhu wa TANZANIA, Emerson Mnangagwa wa Zimbabwe na Lazarus Chamwera wa Malawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…