Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani.

Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye anayesimamia Biashara za Rais zinazohusiana na Sakunda Holdings inayotuhumiwa kwa ufisadi.

Rais Mnangagwa amekuwa akishinikiza kuondolewa kwa vikwazo licha ya Marekani kudai Serikali ya Zimbabwe bado inakumbatia Ufisadi na Ukandamizajiwa Haki za Binadamu.

===================

The United States has added Zimbabwe President Emmerson Mnangagwa’s son to its sanctions list after identifying him as the one in charge of his father’s business interests related to a businessman accused of corruption.

President Joe Biden’s administration slapped the corruption sanctions on Emmerson Mnangagwa Jnr on Monday as the US leader prepared to host a major summit of African leaders in Washington this week.

The Treasury Department announced that it was adding four Zimbabwean people and two companies that are linked to prominent businessman Kudakwashe Tagwirei and his Sakunda Holdings, both of which are already on the US sanctions list.

US sanctions on Zimbabwe freeze any assets of the targeted individuals and companies that may be in the US jurisdictions and bars Americans from doing business with them.

President Mnangagwa and scores of other ruling Zanu PF officials as well as security chiefs are targeted by the sanctions regime that was imposed on Zimbabwe over two decades ago over alleged human rights violations, corruption and electoral fraud.

Washington said the tightening of the sanctions regime was meant to “encourage” behaviour change on the part of the Zimbabwean government.

“We urge the Zimbabwean government to take meaningful steps towards creating a peaceful, prosperous, and politically vibrant Zimbabwe and to address the root causes of many of Zimbabwe’s ills: corrupt elites and their abuse of the country’s institutions for their personal benefit,” Treasury said in a statement.

“The goal of sanctions is behaviour change. Today’s actions demonstrate our support for a transparent and prosperous Zimbabwe.”

The US added Mr Tagwirei’s wife Sandra Mpunga and two business executives from companies linked to the wealthy businessman Nqobile Magwizi and Obey Chimuka.

It also listed two companies Fossil Agro and Fossil Contracting, which are both connected to Mr Tagwirei and Sakunda Holdings.

President Mnangagwa has been pushing for the lifting of Western sanctions imposed on Zimbabwe since taking over from long time ruler Robert Mugabe following a military coup in 2017, but the US insists that the Harare administration is not doing enough to warrant the lifting of the embargo.

The latest sanctions review saw the US removal of names of several Mugabe-era ministers from the list.

South African President Cyril Ramaphosa in September met President Biden in Washington where he tried to persuade him to lift the sanctions on Zimbabwe, which he said were hurting the southern African region.

President Ramaphosa said Zimbabwe’s neighbours such as South Africa, Botswana and Namibia were being overwhelmed by the influx of Zimbabwean economic migrants and argued that Harare’s problems were induced by the sanctions.

President Mnangagwa’s government accuses the West of using the embargo to push a regime change agenda.

NATION
 
Zimbabwe uchumi wake ni kama umeungwa na kamba ya mgomba ila viongozi na wapambe wao wanakula sana raha pamoja na polisi wenye vyeo...huyu Rais anapewa magari mapya iwe BMW au Mercedes kwa ajili ya polisi tu...ila ukiwaona wengine choka mbaya utadhani wapo Somalia Wazimbabwe wamekua na roho ngumu na mbaya haijawahi kutokea hata kupita Zimbabwe kwa kuendesha sio salama hasa kwa nyakati za usiku...na hivi vikwazo kila kukicha sipati picha..
 
Dah!... Zimbabwe haijawahi kuwa na nafuu toka Mzee Mugabe awapore walowezi mashamba.
 
Zimbabwe uchumi wake ni kama umeungwa na kamba ya mgomba ila viongozi na wapambe wao wanakula sana raha pamoja na polisi wenye vyeo...huyu Rais anapewa magari mapya iwe BMW au Mercedes kwa ajili ya polisi tu...ila ukiwaona wengine choka mbaya utadhani wapo Somalia Wazimbabwe wamekua na roho ngumu na mbaya haijawahi kutokea hata kupita Zimbabwe kwa kuendesha sio salama hasa kwa nyakati za usiku...na hivi vikwazo kila kukicha sipati picha..
Tofauti yao na sisi huenda ikawa ni ndogo sana. Maana hata huku kwetu kuna watu hawajui hata bei ya mchele sokoni kwa kilo ni shilingi ngapi!
 
Tofauti yao na sisi huenda ikawa ni ndogo sana. Maana hata huku kwetu kuna watu hawajui hata bei ya mchele sokoni kwa kilo ni shilingi ngapi!
Niliacha kupita na gari ndogo Zimbabwe wakati ndio njia fupi kuja Tanzania kupitia Masivingo ushatokea Chirundu au Harare kuitafuta Malawi sio mbali pia unatokea Desza border ila hiyo bara bara ina Road blocks nyingi sana na kila Road block lazima uchangie wao wanakagua kila gari manzoni nilikua nakomaa nanunua mikate mingi naweka kwenye dashboard sasa unakuta ushamaliza mikate na Nchi yao hujaimaliza hiyo linaanza balaa la usd 10 kumi...wakati ukipita Botswana huo ujinga hakuna ingawaje ni kipande cha 1100km kutoka mpaka wa SA mpaka unafika Kazungura mpaka wa Zambia/Botswana...
 
Hio mikate ndio ya kuchangia nchi?
 
Cha kushangaza Zimbabwe kuna vitu wanatuzidi...free internet Kwa baadhi ya maeneo na gharamia za internet kuwa chini wametuacha sana
 
Back
Top Bottom