Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Whatever makes u sleep at night!!Ona unavyotoa povu mdomoni. Nani kakutukana wewe? Wewe kiwango chako hicho cha chini kufikiri nikutukane si nitakuwa najichosha.
Huenda hujui hata jina la nchi yako limetokana na nini na pia hujui hata nairobi imetokana na nini.
Uwezo wako upstairs ni finyu sana. Jenga hoja sio kukimbilia kushambulia nchi ya ahadi Tanzania.