Zimbabwe vs Brazil

dakika ya 46 Zimbabwe 0 Brazil 1
 
half time brazil 2 zimbabwe 0,wafungaji ni M. Bastos dk 41, dk 44 Robinho.
 
Half Time hapa dah wakubwa wameonesha uwezo wao...Zim walianza vizuri sana mwanzoni
Brazil 2-0 Zim
 
Zimbabwe wana mshambuliaji ana kasi sana wangeliingia kwenye 18 nadhani mambo yangelikuwa mazuri
 
2nd Half on the way hapa... Sioni dalili ya ZIm kuchomoa ..dak ya 56
 
Tatu hapa Brazil wanaongoza Elano goal scorer
 
Mpira umekwisha hapa ZIm wamechezea kichapo mbele ya JONGWE na baraza lake la Mawaziri...Mwenzio akinyolewa na wewe.........lets wait june 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…