Zimbabwe vs Brazil

Zimbabwe vs Brazil

Mpira umekwisha hapa ZIm wamechezea kichapo mbele ya JONGWE na baraza lake la Mawaziri...Mwenzio akinyolewa na wewe.........lets wait june 7
Sisi naogopa tutabugizwa si kawaida...
 
Sisi naogopa tutabugizwa si kawaida...

Kwa kuwa tunawalipa mabilioni naona watatutundila tatu tu kama Zimbabwe kwani sisi hatuhitaji chochote zaidi ya kuwaona live wanavyocheza na kutia baraka uwanja wetu kuwa ni mmoja kati ya iliyowahi kuchezewa na Brasil
 
Sisi naogopa tutabugizwa si kawaida...

Dalili zinaonesha wazi kichapo halali yetu kwani J2 hii Starz wanacheza na RWANDA kwenye CHAN afu J3 ndo wanakutana na Watoto wa samba Majira ya saa12..Sijui sheria za soka zinasemaje kuhusu mapumziko baina ya mechi na mechi (kwenye soka)...kama watacheza itakuwa just a show game na sio mikiki mana CHAN ndo kipaumbele na sio Brazil..
 
Sisi naogopa tutabugizwa si kawaida...
he he hee,tusishangae kila mchezaji akaondoka na goli lake,na mpaka hapa nishaona wabongo wengi wataishangilia brazil badala ya stars mweeh.:A S clock:
 
MITUNGO YA HESHIMA...NADHANI STARS WAKIPIGWA ZAIDI YA MOJA ITABIDI TUOMBE WATUREJESHEE CHENJI ZETU ZA KUWA KIRIMU

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom