bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Mchezo uko kalenda za Fifa tunazid kuporomoka kwa kasiUlikuwa mchezo wa kirafiki. Hautaki hasira.
Tukipanda viwango vya Fifa itawavutia hata mawakala kuja kutafuta vipaji nchini mwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo uko kalenda za Fifa tunazid kuporomoka kwa kasiUlikuwa mchezo wa kirafiki. Hautaki hasira.
Mzee kaishiwa mbinu kwa kifupiTFF wanamlipa Mkwasa pesa zake kwa wakati,? au ndio blah blah....!!!
Nakumbuka enzi za Maximo cape verde kala 3 hapa kwetumhh hawa jamaa utadhani hawafanyi mazoezi wao kila mechi ni kufungwa tuu tunashindwa hata na Cape Verde ina idadi ya watu hawazidi laki sita..sisi milioni arobain na tano hamna kitu..kuna haja ya kubadili mfumo wa uteuzi wa wachezaji hata mtaani chukueni ikiwezekana Timu nzima sio hao wanafeli kila siku mnawachagua tena..
Kuna wachezaji wengi tu timu za mikoaniUkimtoa Juma Abdul beki mwingine mzuri namba mbili ni Salumu Kimenya wa prisons... Kiungo Rafael daudi Alpha mbeya city na wengine wengi.. Mechi inayokuja hakuna kuita wachezaji wa Yanga. Simba na Azam.. Kocha chagua wachezaji wa mikoani na Zanzibar tu.... La sivyo tunang'oa viti
Jitihada za Maguri hukuziona au uchambuzi wako upoje?Sammata naye hayuko kwenye kiwango kabisa
Maguri kajitaidi kuna kichwa kimoja alipiga pia ako na uwezo wa kuhold mpira sema hakukuwa na viungo wazuri wa kupiga pasi za mwisho.Jitihada za Maguri hukuziona au uchambuzi wako upoje?
mlaumuni muhaya,aliemfukuza kim polsen akamleta masharubu nooij kisha mkwasa,angemwacha polsen tungecheza AFCON mwakani,mchezo wa mu.ha.ya ni katerero,mpira wapi na wapiMkwasa alidhani anacheza Cuf/cecafa na hivyo sub haizidi tatu kama kanuni zinavyotaka, kumbe ni Friend Match!
Mkuu unaiangalia Brazil ya sasa?Tuna ugonjwa wa magolithiobia (Brazil 0-german 7)
Cuf?????Mkwasa alidhani anacheza Cuf/cecafa na hivyo sub haizidi tatu kama kanuni zinavyotaka, kumbe ni Friend Match!