Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Watu wanazungumzia tuzo wewe unazungumzia masuala ya bei ya CD... wapi na wapi! Huku kwetu ndo pale utasikia unaambiwa "wenzako wanahesabu nazi we unahesabu makumbi...!" Na ukikisikia unaambiwa hivyo, hesabu hapo mtu ndo amekupuuza kupita maelezo....Tatizo kwa zimbabwe hiyo nchi CD moja yenye single 2 inauzwa Mil. 750/=
Sasa si ni huko kwenu?Watu wanazungumzia tuzo wewe unazungumzia masuala ya bei ya CD... wapi na wapi! Huku kwetu ndo pale utasikia unaambiwa "wenzako wanahesabu nazi we unahesabu makumbi...!" Na ukikisikia unaambiwa hivyo, hesabu hapo mtu ndo amekupuuza kupita maelezo....
We jamaa kumbe mbishii!!?Sasa si ni huko kwenu?
Una uhakika kwetu ni hivyo hivyo?
Kwenu wakati wenzako wanahesabu ng'ombe wewe unahesabu ngoz za ng'ombe!!!Sasa si ni huko kwenu?
Una uhakika kwetu ni hivyo hivyo?
Kwetu wapi?Kwenu wakati wenzako wanahesabu ng'ombe wewe unahesabu ngoz za ng'ombe!!!
Hapana, kwanini umesema hivyo?We jamaa kumbe mbishii!!?
Huko ambako wanaona awards ndio CDKwetu wapi?
Vilaaza ndivyo walivyo huwa ...Watu wanazungumzia tuzo wewe unazungumzia masuala ya bei ya CD... wapi na wapi! Huku kwetu ndo pale utasikia unaambiwa "wenzako wanahesabu nazi we unahesabu makumbi...!" Na ukikisikia unaambiwa hivyo, hesabu hapo mtu ndo amekupuuza kupita maelezo....
Bado hujajibu swaliHuko ambako wanaona awards ndio CD
IKiwa unashindwa kutofautisha kati ya mauzo ya CD na tuzo; huo uwezo wa kujua kama nimejibu au sijajibu utautolea wapi!!! Au ulivyoona maUZO na tUZO ukadhani ndo kile kile... Endelea na upoyoyo wako!!!Bado hujajibu swali
Kwetu wapi?
Wewe unaulizwa swali la kutaja mahali halafu unaelezea mfano wa sifa za watu wa huko.
Kwetu wapi?
siku hizi kumbe ameacha kununua tuzo anagawa mkwanja madale?Ni habari tu ila sio habari ya kusisimua.
Nenda Madale kachukue buku 7 yako.
Poyoyo ni mimi au wewe unayeshindwa kujibu swali nalokuuliza?IKiwa unashindwa kutofautisha kati ya mauzo ya CD na tuzo; huo uwezo wa kujua kama nimejibu au sijajibu utautolea wapi!!! Au ulivyoona maUZO na tUZO ukadhani ndo kile kile... Endelea na upoyoyo wako!!!
Nakuona poyoyo ndo maana sijakujibu...Poyoyo ni mimi au wewe unayeshindwa kujibu swali nalokuuliza?