ZIMBABWE: wimbo wa "Watora Mari" aloshirikishwa "Diamond Platnumz "washinda tuzo.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Msanii Jay Prayzah ashinda tuzo ya
"MOST FASHIONABLE MUSIC VIDEO"
Katika tuzo za "Style Oracle Awards-2016"
Nchini Zimbabwe.
ed9f1039acdad9d7e565a0c01dfc02a8.jpg
 
Tatizo kwa zimbabwe hiyo nchi CD moja yenye single 2 inauzwa Mil. 750/=
 
Watu wanazungumzia tuzo wewe unazungumzia masuala ya bei ya CD... wapi na wapi! Huku kwetu ndo pale utasikia unaambiwa "wenzako wanahesabu nazi we unahesabu makumbi...!" Na ukikisikia unaambiwa hivyo, hesabu hapo mtu ndo amekupuuza kupita maelezo....
 
Sasa si ni huko kwenu?

Una uhakika kwetu ni hivyo hivyo?
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
hongera zao...
 
Watu wanazungumzia tuzo wewe unazungumzia masuala ya bei ya CD... wapi na wapi! Huku kwetu ndo pale utasikia unaambiwa "wenzako wanahesabu nazi we unahesabu makumbi...!" Na ukikisikia unaambiwa hivyo, hesabu hapo mtu ndo amekupuuza kupita maelezo....
Vilaaza ndivyo walivyo huwa ...
 
Hongera sana Jay prayzah na Diamond platnumz kwa nyimbo nzuri inayostahili tunzo mmeitendea haki. Tunzo zaidi zinakuja mwakani 2016/2017 kwako Diamond kwa nyimbo nzuri ulizowekeza mwaka huu kwenye game.
Ongeza juhudi zaidi uvunje rekodi za kimataifa na rekodi ulizozipata mwanzo
 
Ni habari tu ila sio habari ya kusisimua.

Nenda Madale kachukue buku 7 yako.
 
Huko ambako wanaona awards ndio CD
Bado hujajibu swali

Kwetu wapi?

Wewe unaulizwa swali la kutaja mahali halafu unaelezea mfano wa sifa za watu wa huko.

IKiwa unashindwa kutofautisha kati ya mauzo ya CD na tuzo; huo uwezo wa kujua kama nimejibu au sijajibu utautolea wapi!!! Au ulivyoona maUZO na tUZO ukadhani ndo kile kile... Endelea na upoyoyo wako!!!
 
Ni habari tu ila sio habari ya kusisimua.

Nenda Madale kachukue buku 7 yako.
siku hizi kumbe ameacha kununua tuzo anagawa mkwanja madale?

Documentary ya wanyama ikitoka naomba unistue
 
IKiwa unashindwa kutofautisha kati ya mauzo ya CD na tuzo; huo uwezo wa kujua kama nimejibu au sijajibu utautolea wapi!!! Au ulivyoona maUZO na tUZO ukadhani ndo kile kile... Endelea na upoyoyo wako!!!
Poyoyo ni mimi au wewe unayeshindwa kujibu swali nalokuuliza?
 
Back
Top Bottom